mchambuzixx
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,292
- 946
"Ndugu wajumbe hakikisheni watu wanapiga kura masuala ya Nec kutangaza mshindi niachieni mimi". - Lowassa awaambia baraza kuu Chadema
Vizuri sana mi siipendi CCM
Kwanini havai gwanda lakini!
ANGALIZO KWA DR SLAA NA LOWASA
Kabla sijaanza kuelezea lolote napenda kumukumbusha Slaa ambaye ana taalum ya upadri.
Katika kitabu cha matendo ya Mitume kuna ushahidi kwa Sauli alikuwa muuaji na tena alikuwa anauwa mitume lakini alipata padiliko la kweli na kujiunga na mitume wengine.
Wakati Sauli anafanya hivyo Mitume wengine walianza kumunyanyapaa na kumuogopa lakini katika bibilia , imethibitishwa kwamba hadi leo Paulo (aliyekuwa Sauli) ndiye aliyefanya kazi kuliko Mitume wote.
Bila shaka kuna watu ndani ya Chadema na hata nje ya chadema wanataka kujenga hoja ya kumunyanyapa LOWASA ati ni Fisadi , hata mimi niliingia mtego huu lakini napenda kuhojhi yafuatayo:
(1)Lowasa amehama CCM na kwa hatua hiyo ameingamiza nafsi yake kwa kiwango Kikubwa.
(2)Lowasa yupo tayari kutumia Pesa yake na mali yake kubomoa CCM
(3)LOWASA anahasira kali na CCM na miungu watu ndani ya CCM
(4)LOWASA kama waziri Mkuu mstafu ametake risk ya Kifo kiasi kwamba anataka kupiga CCM kwa Nyaraka zito za Siri ambazo Slaa hawezi kuzielezea
(5) Lowasa anajua mikakati ya Wizi wa Kura ndani ya CCM kwa miakazaidi ya 40
(6) Ndani ya CCM hawakutarajia wala hawakuwahi kupanga kuwa mtu kama Lowasa ambaye amewshijka nafasi nyeti kama waziri mkuu anaweza kuasi serikali kiasi hiki
Huu uasi unatisha na haujawahi kutokea, na hata pale ulipojaribu kutokea wahusika hawakubaki hai
(7)Kwa sasa CCM wanahaha sana juu ya Lowasa kuchukua form. Mikakati ya CCM iliielekeza Nguvu kumshambulia Slaa lakini Mungu amebadili Plan ghafla na kumuleta Lowasa amabaye hawajajipanga nan i Pigo kubwa
(8)Kwa sasa Uasi uliojitokeza CCM ni vigumu kujua nani yupo kwa nani
Angalia mtandao wa Lowasa ndani ya CCM unatisha na umetulia Kimia.
Mtandao huu jumlisha nguvu ya Umma ni lazima CCM ibaki kama KANU
MAONI KWA SLAA.
(1)Wakati unagombea urais ulikuwa na Rozi Kamili ukamwacha na kumuoa Josephine
Rozi Kamili alikubali ujio wa Josephine lakini leo Josephine huyo amekuwa kikwazo kwa maamuzi yako.
(2)Mambo ya Chama huwezi kumuhusisha Mwanamke, huo ni udhaifu mkubwa na kama kweli unamsikiliza mwanamke basi ujue hutapata nafsi ya kurudi kwenye jamii na wakakuamini na kukupa heshima kama walivyokupa.
Mke ni mshauri wake kwa mambo yote lakini kikao kama kamati kuu kinapopitisha maamuzi harafu mkeo anapinga maana yake mke huyo hafai kuwa First Lady na hata wewe hufai kuwa Kiongozi
MAONI KWA LOWASA
(1)Umeitwa Mwizi kwa siku nyingi sana na hata mimi nimekuita hivyo , sasa huu ni wakati wa wewe kutuambia mwizi halisi ni nani na utoe Ushahidi
(2) Zipo taarifa kwamba CCM wanapanga kukata jina lako kwenyenye tume ya uchaguzi hivyo nakusihii usikate tama .Muombe Mungu .Hii ni safari ya ushindi na si matumaini tena
(3)Usiogope kushambulia Ikulu kwa kuwa Mussa alikaa Ikulu ya Farao na kulelewa hapo lakini Mungu alimupa kazi ya kumuangamiza Farao.
Hivyo Lowasa umepewa kazi ya Kuingamiza CCM hivyo fanya kweli ujue kwamba Slaa hajui haya.
Pesa ni kitu cha ajabu kabisa, yani inapelekea hata watu kuzitumia dini na maandishi matakatifu hovyo hovyo,mbona mwembe yanga tulisahau haya au biblia ndio inajulikana sasa?ANGALIZO KWA DR SLAA NA LOWASA

Siyo tu kuwa havai magwanda lakini hata zile sare za fulana na kofia za Chadema nazo 'hazigusi' mwili wake.
Inawezekana kimwili yupo Chadema lakini kiroho bado yupo Sisiemu.
kwa sababu bado ni CCM damu na hajaingia CDMA kwa sababu ya kuvutiwa na sera wala itikadi zao bali anakitumia chama kama gari la kumwezesha kufikia malengo yake ya kuingia Ikulu.
Pesa ni kitu cha ajabu kabisa imefanya hata wewe kupata internet ya kuandika na kupost ujinga wako hapa.Pesa ni kitu cha ajabu kabisa, yani inapelekea hata watu kuzitumia dini na maandishi matakatifu hovyo hovyo,mbona mwembe yanga tulisahau haya au biblia ndio inajulikana sasa?
Biblia wakati ule mwembe yanga haikuepo ndio ameileta EL sasa inaanza kusomwa,naamini kama angekua nayo wakati ule labda yote yasingetokea,kweli pesa kwa uwezo wakibinadamu si mchezo hata inapelekea maandiko matakatifu kutumika kiholela.Leo Dr anaonekana mpinga mageuzi yote shauri pesaUnasikitisha sana umelitaja jin la Mungu krb mara 5 sambamba na fisadi Lowasa huku ni kumkosea Mungu adabu klk pitiliza unapswa utubu kwa Mungu kwa kumkosea kiasi hicho!
Lowasa ni fisadi tna ni fisadi papa na ndiyo maana hata chama chake kilimkata kwa maana ufisadi wake ulipitiliza na walishindwa hata jinsi ya kumsafisha ili kushinda Uchaguzi wakaamua kumtema leo hii kahamia chadema unaanza kumusisha na Mungu kwa lipi?
Kwa maana nyingine mateso wanayoyapata Watz kuanzia kufa br kwa ajal, kukosa Umeme, wamama kujifungulia barabarani, watoto kushindwa kusoma kote huku huwezi kukutenganusha na fisadi Lowasa, hele alizoiba ambazo leo hii anazitumia chadema ndizo zinazokosekana mahospitalini, shuleni, ujenzi wabr n.k hivyo hayo yote ni kinyume na matakwa ya Mungu na hivyo ni dhambi kubwa kumuhusisha fisadi Lowasa na Mungu kwa vyovyote vile kwanza siajabu hata Mungu hakumuumba fisadi huyu!
Kwanini havai gwanda lakini!