Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,409
Kwanini havai gwanda lakini!
lipo kwa fundi
Kwanini havai gwanda lakini!
Kwanini havai gwanda lakini!
Na hata ile salamu ya chadema hadi akumbushwe kila siku. Poor chadema???
Hiyo sasa dharau kwa wanachadema laki si pesa, unaitaji kufikiri kabla ya kupost matusi yako kama haya, kwa wana cdm na ukawa wako pamoja kumuondoa mkoloni ccm wee unaleta swaga za lumumba? Tafakari na chukua hatua kama kweli unahitaji mabadiliko.Magwanda yake bado yako Uingereza yanaandaliwa,,Hayo ni Rais ajae hawezi kuvaa hayo magwanda yenu ya kimachinga
Kwanini havai gwanda lakini!
Safi sana Lowassa wape za uso!!!!! Babu akisusa sisi tunasonga mbele tuu
Siyo tu kuwa havai magwanda lakini hata zile sare za fulana na kofia za Chadema nazo 'hazigusi' mwili wake.
Inawezekana kimwili yupo Chadema lakini kiroho bado yupo Sisiemu.
Yeye ni kama chama ndani ya chama yaani anaweza akaamrisha CHADEMA wavae kijani na njano na asitokee kiazi yeyote wa kukataa.Kwanini havai gwanda lakini!
Ameshasema Richmond ni Mali ya Kikwete na ccm
Umempa hakakataa kuvaa?
ccm ife tuu...