Lowassa ahutubia Baraza Kuu la CHADEMA

Lowassa ahutubia Baraza Kuu la CHADEMA

tulianza na mungu 2tamaliza na mungu pia ushindi kwetu ni muhimu na umoja wetu ndo nguzo ye2 lowassa ni high profile officer wa serikali so anajua mbunu zote za wizi walizozitumia ccm toka mwaka 1995 kwa mrema so 2tapata mtu ambae anaweza kufanya v2 vnne kwa pamoja ila leo ntataja k2 kmoja 2 ambacho ni muhimu pia nacho kwa kupitia u king pin wake kwa wafanyabiashara anauwezo wa kuzuia fedha zisiende kwa ccm kwa kupitia ushawish wake kwa wafanyabiashara wakubwa na ccm bila ya fedha ni dead party coz wamesha wazoesha kuwaonga wanachama wao kuanzia nguo mpaka fedha so lowassa anaweza ku2saidia kwa ilo leo matajiri yote wapo tumbo joto awajuh wa bet wapi kwan uchaguz huu yeyote anaweza kuwa mshnd so unaweza ku bet wrong side ikala kwako
 
ImageUploadedByJamiiForums1438625680.394344.jpg ImageUploadedByJamiiForums1438625739.900461.jpg
 
View attachment 273359

Hatimaye Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema/UKAWA ndugu Edward Lowassa ahutubia baraza Kuu la Chadema
Katika hotuba yake Lowassa amesisitiza kuwepo na mshikamano na maelewano ndani ya chama kuelekea uchaguzi mkuu,huku akiwahakikishia wajumbe kuwa ushindi ni "lazima" maana mbinu na njia za "adui" zinajulikana
"Ndugu wajumbe hakikisheni watu wanapiga kura masuala ya Nec kutangaza mshindi niachieni mimi", EL.
 
Lowassa akinguruma CCM wanatimuwa mbio kama swala aliyefumaniwa na simba.
 
Kwa kweli tunamsihi dr slaa apige moyo konde tuwe pamoja ktk harakati za uchaguzi mkuu,akiwa chadema.pia pamoja na salaam ya "pipoooz"ya mh lowasa,tumwone akiwa ktk vazi la kombati,si shati jeupe ansloonekanz nalo.
 
Kwanini havai gwanda lakini!
Unajua hili swali kila asie na maono ya mbali analiuliza lakin ngoja nikujibu wewe ukawaambie na wenzako...LOWASSA ameingia upinzan kupitia CHADEMA lakin ukumbuke kwa mujibu wa vyama vyote vi4 kufanya maridhiano hvyo kuegemea upande wa CHADEMA pekee kwa kuvaa GWANDA ni kuonyesha hali ya kuweka rahani micmamo ya wanachama wa vyama vingine..!!MBOWE NA LOWASSA wana BUSARA sana hvyo wametaka LOWASSA awe kawaida kabisa maana soon atakabidhiwa jukumu la kuviwakilisha vyama vi4 hvyo ni lazima awe negative kwa maslahi ya MUUNGANO vyama na watanzania kwa ujumla
 
Saa ya ukombozi imekaribia. ..hakika naona matumaini mapya katika Taifa la Tanzania
 
Wakati wa mabadiliko ni sasa mtanzania chukua hatua kwa mtazamo na mawazo ila maamuzi yako mikononi mwako
 
Back
Top Bottom