Mzee Chizi na Makongoro Mahanga ndio magwiji wa kuiba kura na ndio hivyo washatoka. Saizi kabaki mmoja tu Masaburi
Kwakweli nafurahi kukaa huu mtaa maana ,umehamasika kila mtu anakichinjio tayari kuwachinja ccm
Mzee Chizi na Makongoro Mahanga ndio magwiji wa kuiba kura na ndio hivyo washatoka. Saizi kabaki mmoja tu Masaburi
Si kahamia juzi tu, bado yanaandaliwa kwa umakini mkubwa kabisa. Subiri wakati wa kampeni utamuona. Amesema mbinu za aduai zinajulikana kwa hiyo majibu wameshayapata. Maana hata kura za maoni ndani ya chama chao ni wizi mtupu wao kwa wao. Kweli chama cha majambazi.
"Ndugu wajumbe hakikisheni watu wanapiga kura masuala ya Nec kutangaza mshindi niachieni mimi". - Lowassa awaambia baraza kuu Chadema
Kwanini havai gwanda lakini!
Ninao ushahidi lukuki kumuhusu fisadi Lowasa, wa kwanza kabisa Richmond huwo uko wazi, wa pili kukatwa kwa jina lake CCM kwa sababu ya Ufisadi hii ndiyo sababu iliyotolewa na chama chake hivyo angepinga kwa kwenda mahakamani kwa kusingiziwa kuwa fisadi lkn hakufanya hivyo, Ushahidi wa Tatu ni Mwembe yanga alitajwa na chadema kama ni moja kati ya mafisadi papa TZ na hakwenda mahakamai kupinga hilo, wa nne Mtoto wake alikuwa anatafutwa Uingereza kwa kumiliki nyumba ya mamilioni wakati yeye ni mtoto wa mfanyakazi wa Serikali, wa tano Nyumba ya ubalozi wa AK Masaki ni ya kwake...
Hapa mwendo ni mchaka mchaka mpaka Ikulu.

Na EL ni fundi ile mitambo ya Nec yote yeye ndio aliioda anaijuwa in and out
Nape atajificha kama Dr mwaka huu
Msiwalaumu,tatizo lao ni safu nyembamba ya uongozi kama alivyowahi kuwaambia Mzee sittaSijaona chama cha Wapumbavu kama CHADEMA tulikuwa tunasikia lakini sasa wametuhakikishia wenyewe need I say more.