Lowassa ahoji maswali matatu kwa Magufuli

Habari za asubuhi GT's

Leo katika kupitia magazeti asubuhi hii nimekutana na kichwa cha habari kikubwa chenye picha ya Rais wetu JPM na picha yenye ukubwa Kama hiyo ya Lowassa wakiwa wametazamana. Rais wetu JPM akiwa anatabasamu na Lowassa akiwa Kama mtu anayefoka.

Picha hizo na hicho kichwa cha habari zimechukua asilimia 90 ya ukurasa wa kwanza wa gazeti. Gazeti hili ni la Nipashe la Leo Tarehe 9/11/2015 (ISSN 0856.No 0578662).

Baada ya kutoa Utangulizi naomba kutoa hoja:-

1. Gazeti la Nipashe limeshindwa kuweka picha sahihi kwa heshima ya Rais wa awamu ya 5 na hilo ni kutokumtendea haki. Huwezi kuweka picha za ukubwa SAWASAWA na zaidi huyu Lowassa anaonekana Kama anatoa maneno makali kwa Rais wetu Dr. JPM

2. Gazeti la Nipashe linatakiwa kufahamu kipindi cha kampeni kimekwisha na Rais amepata kana. Huwezi kutoa umuhimu sawa kwa vitu visivyolingana.

3. Taarifa hii imepewa uzito mkubwa na ina Lengo fulani nyuma Yake ambayo wenye Hekima wamenielewa.

4. Sasa na kuja kwenye ujumbe wenyewe (contents)
- Naomba Mhe. Lowassa na watu wake wafahamu kuwa Rais wa awamu ya tano Dr. JPM anatimiza ilani ya CCM.

- Ni makosa ya kiufundi na ya kitaalamu kwa wasaidizi wa Lowassa kumshauri aje kwenye vyombo vya habari kukosoa utekelezaji wa ilani ya CCM kupitia Rais wake ambaye mpaka sasa CHADEMA hawajamtambua.

- Namna Yake (Lowassa) ya kutoa elimu bure aendelee kuiweka na siku akiwa Rais aitumie, kwanza ni vizuri CCM hawaku copy maana ingekuwa nongwa.

- Serikali ya CCM imeanza kutekeleza Yale iliyosema kwenye kampeni kupitia ilani ambayo kwa upande wa Chadema hatukuona mgombea hata mmoja wa Chadema akikabidhiwa. Sasa kiherehere cha nini?

- Nashauri WAPAMBE wa Lowassa muachane na kukosoa ilani ya CCM kwani muda wa kampeni UMEISHA na sasa ni muda wa utekelezaji. "#HAPA KAZI TU#

- Nashauri Mhe. Lowassa uwe mvumilivu na uiache awamu ya 5 itekeleze majukumu yake. Mambo ya kutafuta waandishi wa habari ili uwe unafuta nyayo za Rais ni sehemu ya uhaini. Pia unasahau kuwa "Mamlaka na iheshimiwe na watu wote".

- Chochote unachokosoa kuanzia sasa kuhusu serikali ya awamu ya 5 uwe na reference ambayo ni Ilani ya CCM na sio maneno yako wakati upo kwenye majukwaa ya siasa. CCM haitekelezi maneno yako au matakwa yako.

- Kama kweli wewe ni mzalendo na unataka tujenge Tanzania yetu na unaona kuna hoja ya msingi; omba appointment kamuone Mhe. Rais.

- Achana kabisa na mambo ya kutafuta umaarufu kwenye magazeti na vyombo vya habari kujaribu ku water down juhudi za mheshimiwa Rais. Watanzania hatutaki malumbano sasa tunataka kuona kazi. (#Hapa ni Kazi Tu#)

Naomba kuwasilisha.

Queen Esther

============================================

Chanzo: Nipashe

Huna hoja, zaidi ni uchonganishi. Kwani hiyo picha kubwa ni ya nani? Si ya kwake. Ulitaka waweke ya bandia? Wivu wa maendeleo utakuuwa.
 
Mbona maswali yenyewe ya kijinga kiasi hiki??? very illogical, Thankx God tumeponea chpuchupu na hili dude
 
Mengi ndo mmliki wa gazeti la nipashe so anafanya kusudi. i think ana agenda ya siri. ana matatizo na ni mnafiki mkubwa huyo mzee
AACHE KUWA MNAFIK BABAAKO AWE MNAFIK MZEE MENGI ....!
-Acha kuwa punga!
 
Kwa mwendo huu C.C.M lazima mtoroke nyumba na MASOLEX WENU...
LOWASSA KAWASHIKA PABAYA!
 
Nahisi Kwa habari hii ni dalili ya uchonganishi ni vizuri kuhacha mala moja Kwa ustawi Wa democrasia yetu

Kiswahili ni lugha yako ya kurithi, kujifunza na vilevile ni lugha yako ya taifa. Ukiandika, pitia kwanza ulichoandika kabla ya kupost. Rejea maneno niliyoyawekea rangi nyekundu.

Asante.
 
naogopa kuyeriko coz hayo maswali skuyaona

Huo ndio uwezo wa mwandishi wa habari wa Nipashe ulipoishia; tena habari imepamba ukurasa wa kwanza na imechukua space almost 90%????

Queen Esther
 
Yeye ndio kashikwa pabaya. Ataishia kutumia magazeti tu kuongea. Atulie maana Magufuli ndie Rais. Hana jinsi na hana pa kusemea zaidi ya magazetini au twitter au facebook.
 
Habari za asubuhi GT's

Leo katika kupitia magazeti asubuhi hii nimekutana na kichwa cha habari kikubwa chenye picha ya Rais wetu JPM na picha yenye ukubwa Kama hiyo ya Lowassa wakiwa wametazamana. Rais wetu JPM akiwa anatabasamu na Lowassa akiwa Kama mtu anayefoka.

Picha hizo na hicho kichwa cha habari zimechukua asilimia 90 ya ukurasa wa kwanza wa gazeti. Gazeti hili ni la Nipashe la Leo Tarehe 9/11/2015 (ISSN 0856.No 0578662).

Baada ya kutoa Utangulizi naomba kutoa hoja:-

1. Gazeti la Nipashe limeshindwa kuweka picha sahihi kwa heshima ya Rais wa awamu ya 5 na hilo ni kutokumtendea haki. Huwezi kuweka picha za ukubwa SAWASAWA na zaidi huyu Lowassa anaonekana Kama anatoa maneno makali kwa Rais wetu Dr. JPM

2. Gazeti la Nipashe linatakiwa kufahamu kipindi cha kampeni kimekwisha na Rais amepata kana. Huwezi kutoa umuhimu sawa kwa vitu visivyolingana.

3. Taarifa hii imepewa uzito mkubwa na ina Lengo fulani nyuma Yake ambayo wenye Hekima wamenielewa.

4. Sasa na kuja kwenye ujumbe wenyewe (contents)
- Naomba Mhe. Lowassa na watu wake wafahamu kuwa Rais wa awamu ya tano Dr. JPM anatimiza ilani ya CCM.

- Ni makosa ya kiufundi na ya kitaalamu kwa wasaidizi wa Lowassa kumshauri aje kwenye vyombo vya habari kukosoa utekelezaji wa ilani ya CCM kupitia Rais wake ambaye mpaka sasa CHADEMA hawajamtambua.

- Namna Yake (Lowassa) ya kutoa elimu bure aendelee kuiweka na siku akiwa Rais aitumie, kwanza ni vizuri CCM hawaku copy maana ingekuwa nongwa.

- Serikali ya CCM imeanza kutekeleza Yale iliyosema kwenye kampeni kupitia ilani ambayo kwa upande wa Chadema hatukuona mgombea hata mmoja wa Chadema akikabidhiwa. Sasa kiherehere cha nini?

- Nashauri WAPAMBE wa Lowassa muachane na kukosoa ilani ya CCM kwani muda wa kampeni UMEISHA na sasa ni muda wa utekelezaji. "#HAPA KAZI TU#

- Nashauri Mhe. Lowassa uwe mvumilivu na uiache awamu ya 5 itekeleze majukumu yake. Mambo ya kutafuta waandishi wa habari ili uwe unafuta nyayo za Rais ni sehemu ya uhaini. Pia unasahau kuwa "Mamlaka na iheshimiwe na watu wote".

- Chochote unachokosoa kuanzia sasa kuhusu serikali ya awamu ya 5 uwe na reference ambayo ni Ilani ya CCM na sio maneno yako wakati upo kwenye majukwaa ya siasa. CCM haitekelezi maneno yako au matakwa yako.

- Kama kweli wewe ni mzalendo na unataka tujenge Tanzania yetu na unaona kuna hoja ya msingi; omba appointment kamuone Mhe. Rais.

- Achana kabisa na mambo ya kutafuta umaarufu kwenye magazeti na vyombo vya habari kujaribu ku water down juhudi za mheshimiwa Rais. Watanzania hatutaki malumbano sasa tunataka kuona kazi. (#Hapa ni Kazi Tu#)

Naomba kuwasilisha.

Queen Esther

============================================

Chanzo: Nipashe

Kuna dhambi gani kwa mtu kutaka kujua mstakabali wa ahadi kwa Watanzania zilizotolewa na utekelezaji wake?.Upinzani wa kisiasa siyo kupiga maendeleo bali ni kuchochea maendeleo kwa kuhoji ili serekali iyopo madarakani itutekelezee ahadi zake kwa maendeleo yetu na Taifa.
 
Mpendwa natambua mchango wa upinzani na umeleta maendeleo kwa kuisimamia Serikali vizuri katika maeneo kadhaa.

Naomba tuwe objective zaidi. Nchi ni yetu sote na tunataka kuona mabadiliko ya kweli. Tumpe muda Mhe Rais na pia tukosoe objectively. Hilo linampa heshima hata mkosoaji mwenyewe.

Asante

Queen Esther

r
Hivi wewe Dada unajua kazi za upinzani kweli, au unazania upinzani ni kulala lala tu?
The work of opposition is to keep government on toes, to check and balance .
Kama uzijui siasa za kisomi umezoea saisa za kumuabudu rais na wapambe wake umepotea.
Go back to books , think twice before you post, utachekwa.
 
Yaani unaanza Kuhoji wakati Rais hana hata wiki Ikulu???? Duuuu!!!!!

Queen Esther

Kuna dhambi gani kwa mtu kutaka kujua mstakabali wa ahadi kwa Watanzania zilizotolewa na utekelezaji wake?.Upinzani wa kisiasa siyo kupiga maendeleo bali ni kuchochea maendeleo kwa kuhoji ili serekali iyopo madarakani itutekelezee ahadi zake kwa maendeleo yetu na Taifa.
 
Subirini ateue mawaziri ili serikali ianze kazi rasmi ndio mhoji. Mbona mapema mno kiherehere cha mnaojiita wapinzani ndio kimewaponza. Huyo lowassa na yy tukimhoji kwa nini hakutoa elimu bure alipokuwa waziri mkuu atajibu nn. Ushabiki usio na tija huu.
 
Wewe mpuuzi kweli! Nini maana ya "opposition parties?" Kazi yao ni kuikosoa serikali na kuipa changamoto ya kuwajali wananchi. Wewe unataka msikosolewe, yaani tuwaache mfanye madudu miaka 5 halafu tuje kuombana samahani au?! Futeni vyama vingi, mbaki nyie sasa. Tungejuaje kuhusu ESCROW, EPA nk bila wapinzani?!

Hekima yako ni sifuri, na unamdhalilisha "malkia Esther" unayetumia jina lake kama ID yako. Nyambafu kabisa.
 
Asante kwa ushauri.

Queen Esther

Wewe mpuuzi kweli! Nini maana ya "opposition parties?" Kazi yao ni kuikosoa serikali na kuipa changamoto ya kuwajali wananchi. Wewe unataka msikosolewe, yaani tuwaache mfanye madudu miaka 5 halafu tuje kuombana samahani au?! Futeni vyama vingi, mbaki nyie sasa. Tungejuaje kuhusu ESCROW, EPA nk bila wapinzani?!

Hekima yako ni sifuri, na unamdhalilisha "malkia Esther" unayetumia jina lake kama ID yako. Nyambafu kabisa.
 
Yaani unaanza Kuhoji wakati Rais hana hata wiki Ikulu???? Duuuu!!!!!

Queen Esther

Mimi kwa mtazamo wangu hii ndiyo namna bora kwa upinzani tuliokuwa tunahitaji kuliko ule wakusubiri miaka mitano ndiyo tuhoji.Upinzani kwa staili hii tutafikamwaka mbali sana kimaendeleo.Ni vema kuweka UTAIFA kwanza kuliko uvyama.
 
Lowassa si hamkubali Rais, sasa vipi anamuhoji?

Watu wengine mapunguani kweli kweli.
 
Back
Top Bottom