Mozevyee
Member
- Aug 7, 2015
- 5
- 0
Contradiction is fundamental for develepment of anything,even walking itself is a contradiction!!
Kwel kaka
Contradiction is fundamental for develepment of anything,even walking itself is a contradiction!!
Awali ya yote. Huyo aliyekuwa mgombea alihojiwa na bbc akaueleza ulimwengu kuwa akishindwa uchaguzi anarudi monduli kuchunga ng'ombe.
Pili, amesema kuwa hautambui ushindi wa Raisi wa awamu ya 5. Imekuwaje tena anaanza kuhoji utekwelezaji wa ilani ya chama kingine? tena raisi hajamaliza hata wiki moja!. Hii si dalili nzuri wala si afya kwa demokrasia. Nashauri uhaini usilazimishwe kwa kivuli cha demokrasia au hasira ya kushindwa.

Wewe mtoa mada umeisha ambiwa mh rais JPM alichokuta hazina kweli kuna fisadi zaidi ya Kikwete?
Sikiliza wewe dogo mleta uzi, siku zote mwanasiasa umuamini kwa mambo mawili tu;
1> salamu
2 > majina yake
Zaidi ya hapo shika jembe ukalime.
Nimemsikia fisadi Lowasa akitamka kwamba amemtaka Raisi wa JMTZ Magufuli afanye ABC.
Nikakumuka siku chache zilizopita baada ya Tume yetu kumtangaza Magufuli mshindi wa uchaguzi Mkuu fisadi Lowassa alisema mimi E. Ngoyai Lowassa nayakataa matokeo ya Uraisi na naitaka Tume initangaze mimi kuwa Raisi wa JMTZ.
Mbowe naye akasema kwamba wao kama UKAWA hawamtambui Raisi Magufuli sasa iweje tena Lowassa huyo huyo anasema kwamba anamtaka Raisi Magufuli afanye hivi na vile hiyo sentensi ina maana gani?