Lowassa ahoji maswali matatu kwa Magufuli

Lowassa ahoji maswali matatu kwa Magufuli

Tatizo la CCM mnapenda kutekenywatekenywa kama gazeti lenu la Uhuru linavyowatekenya na mnajichekesha. Magazeti kama Nipashe, Mwananchi na Mtanzania penye kusifu wanasifu penye kupiga wanapiga (NO FEAR NOR FAVOUR) nyie mnataka musifiwe tu. lowasa yuko kambi ya upinzani ni kazi ya upinzani kukosoa mipango mibovu na isiyotekelezeka ya serikali na si kusifu.
 
Atakosolewa tu, hata iwe vipi how come wote tuimbe wimbo mmoja, sarafu ina pande mbili. Ni lazima tujuzane ELIMU BURE ya style ipi?

Elimu bure kwa style ya CCM na sio ya Lowassa.
Soma ilani ya CCM mpendwa.

Queen Esther
 
Hivi Lowassa ana cheo gani huko CDM?

Bado ni mgombea wa urais?

Uchaguzi umeishapita. Sasa tumsikie Mbowe kama Mwenyekiti wa CDM. Unless uenyekiti nao kauziwa!

Let JPJM do his work!
 
Rais wangu ni Lowassa .... Wizi wa kura hauwezi kamwe kututendea haki watanzania ...
 
Chadema subirini bunge lizinduliwe mpeleke maswali yenu huko mtajibiwa kikamalifu. Acheni kusumbua wananchi kwa kelele zisizo na faida kwani rais halazimiki kujibu maswali ya kwenye magazeti. Isitoshe lowasa hana cheo tena huko chadema na alisema atakwenda kuchunga ng'ombe zake. Au haendi tena?
 
Habari za asubuhi GT's

Leo katika kupitia magazeti asubuhi hii nimekutana na kichwa cha habari kikubwa chenye picha ya Rais wetu JPM na picha yenye ukubwa Kama hiyo ya Lowassa wakiwa wametazamana. Rais wetu JPM akiwa anatabasamu na Lowassa akiwa Kama mtu anayefoka.

Picha hizo na hicho kichwa cha habari zimechukua asilimia 90 ya ukurasa wa kwanza wa gazeti. Gazeti hili ni la Nipashe la Leo Tarehe 9/11/2015 (ISSN 0856.No 0578662).

Baada ya kutoa Utangulizi naomba kutoa hoja:-

1. Gazeti la Nipashe limeshindwa kuweka picha sahihi kwa heshima ya Rais wa awamu ya 5 na hilo ni kutokumtendea haki. Huwezi kuweka picha za ukubwa SAWASAWA na zaidi huyu Lowassa anaonekana Kama anatoa maneno makali kwa Rais wetu Dr. JPM

2. Gazeti la Nipashe linatakiwa kufahamu kipindi cha kampeni kimekwisha na Rais amepata kana. Huwezi kutoa umuhimu sawa kwa vitu visivyolingana.

3. Taarifa hii imepewa uzito mkubwa na ina Lengo fulani nyuma Yake ambayo wenye Hekima wamenielewa.

4. Sasa na kuja kwenye ujumbe wenyewe (contents)
- Naomba Mhe. Lowassa na watu wake wafahamu kuwa Rais wa awamu ya tano Dr. JPM anatimiza ilani ya CCM.

- Ni makosa ya kiufundi na ya kitaalamu kwa wasaidizi wa Lowassa kumshauri aje kwenye vyombo vya habari kukosoa utekelezaji wa ilani ya CCM kupitia Rais wake ambaye mpaka sasa Chadema hawajamtambua.

- Namna Yake (Lowassa) ya kutoa elimu bure aendelee kuiweka na siku akiwa Rais aitumie, kwanza ni vizuri CCM hawaku copy maana ingekuwa nongwa.

- Serikali ya CCM imeanza kutekeleza Yale iliyosema kwenye kampeni kupitia ilani ambayo kwa upande wa Chadema hatukuona mgombea hata mmoja wa Chadema akikabidhiwa. Sasa kiherehere cha nini?????

- Nashauri WAPAMBE wa Lowassa muachane na kukosoa ilani ya CCM kwani muda wa kampeni UMEISHA na sasa ni muda wa utekelezaji. "#HAPA KAZI TU#

- Nashauri Mhe. Lowassa uwe mvumilivu na uiache awamu ya 5 itekeleze majukumu yake. Mambo ya kutafuta waandishi wa habari ili uwe unafuta nyayo za Rais ni sehemu ya uhaini. Pia unasahau kuwa "Mamlaka na iheshimiwe na watu wote".

- Chochote unachokosoa kuanzia sasa kuhusu serikali ya awamu ya 5 uwe na reference ambayo ni Ilani ya CCM na sio maneno yako wakati upo kwenye majukwaa ya siasa. CCM haitekelezi maneno yako au matakwa yako.

- Kama kweli wewe ni mzalendo na unataka tujenge Tanzania yetu na unaona kuna hoja ya msingi; omba appointment kamuone Mhe. Rais.

- Achana kabisa na mambo ya kutafuta umaarufu kwenye magazeti na vyombo vya habari kujaribu ku water down juhudi za mheshimiwa Rais. Watanzania hatutaki malumbano sasa tunataka kuona kazi. (#Hapa ni Kazi Tu#)

Naomba kuwasilisha.

Queen Esther

==================================================================

Lowassa ahoji maswali matatu kwa Magufuli.
NA WAANDISHI WETU - NIPASHE
9th November 2015

Edward Lowassa.
Aliyekuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa),

Edward Lowassa, amehoji maswali matatu kwa Rais Dk. John Magufuli.Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam jana, Lowassa amemtaka Rais Magufuli baada ya kusema hakuna mtoto atakayelipa ada kuanzia Januari, mwakani, atamke mustakabali wa wanafunzi walioko shuleni kama wataguswa na hatua hiyo au la.

Lowassa amesema kwa upande wake ahadi ya elimu bure aliyokuwa akiinadi wakati wa kampeni, ilikuwa ni kuanzia shule ya awali hadi chuo kikuu na kwamba hata wale walioko mashuleni, wangeguswa na hatua hiyo.

?Niliahidi watoto wote walioko na watakaoanza shule kuanzia kindergarten (shule ya awali) hadi chuo kikuu, serikali yetu ingegharimia. Na nilitangaza kufuta michango yote shuleni ili kumpunguzia mzigo mwananchi,? alisisitiza Lowassa ambaye amekataa kuyatambua matokeo ya ushindi wa Dk. Magufuli akidai kuwa yeye ndiye aliyeshinda kwa asilimia 62 ya kura zote zilizopigwa.

Kuhusu suala la mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, Lowassa amesema yeye alishaweka wazi kuwa elimu ingekuwa bure hadi chuo kikuu.

?Vijana hawa wanahangaika na mikopo na nasikia ni asilimia 17 tu kati ya wanafunzi 70,000 ndiyo waliopata mikopo. Sera ya Chadema na Ukawa kwa ujumla, ni kufuta kabisa shida hizi kwa serikali kufadhili elimu yao,? alifafanua Lowassa katika taarifa yake hiyo. Kwa msingi huo, Ukawa kupitia kwa aliyekuwa mgombea wao wa urais, Lowassa, umewataka wananchi kutofautisha ahadi ya elimu bure iliyotolewa na Rais Magufuli na ile iliyotolewa na Ukawa.

Lowassa alisema Magufuli ametoa maelekezo kwa watendaji wa serikali kuweka mikakati ya kutekeleza ahadi yake kuanzia Januari, mwakani kwamba hakuna mtoto atakayelipa ada.

Hata hivyo, amesema hajaeleza waziwazi hatma ya wanafunzi walioko mashuleni kama wataguswa na hatua hiyo au la.

CHANZO: NIPASHE

Ww n mpumbavu number moja
 
Mipango inatekelezwa sawa na Ilani ya CCM sio maneno ya Chadema.

Tatizo hapa ni Lowassa kusema mimi nilitaka iwe hivi na vile. Ni kweli alitaka lakini amekosa nafasi ya u Rais asubiri awamu ijayo ajaribu tena. Kukosoa ni sawa na Bunge karibu litaanza ana haraka gani Kama sio ku divert attention ya wananchi kwa Rais wao na kujaribu ku water down efforts za Rais ambazo hatakaa afanikiwe. Unapokosoa fanya reference maana wewe ni Great Thinker. Je kuna mahali Rais JPM ameenda nje ya ilani????????

ZABURI 41:1-2

"Heri amkumbukaye mnyonge; Bwana atamwokoa siku ya taabu. Bwana atamlinda na kumhifadhi hai, Naye atafanikiwa katika nchi; Wala usimtie katika hali wamtakiayo adui zake"

Hakika Mungu yupo na Rais wetu Dr. JPM na atamsaidia na kumlinda pia SAWASAWA na ZABURI 41:1-2

Queen Esther

Tatizo la CCM mnapenda kutekenywatekenywa kama gazeti lenu la Uhuru linavyowatekenya na mnajichekesha. Magazeti kama Nipashe, Mwananchi na Mtanzania penye kusifu wanasifu penye kupiga wanapiga (NO FEAR NOR FAVOUR) nyie mnataka musifiwe tu. lowasa yuko kambi ya upinzani ni kazi ya upinzani kukosoa mipango mibovu na isiyotekelezeka ya serikali na si kusifu.
 
Lowasa anajaribu kutest uvumilivu wa magufuli na kumtoa, nje ya mstari katika utendaji wake ili Magufuli apoteze muda wake kujibizana nae na asahau kutimiza wajibu wake na ahadi alizozitoa wakati wa kampeni, huyu ni wakupuuza tu,
 
Maswali matatu yako wapi? Badilisha title yako

Soma nilichoandika mpaka mwisho nimenukuu mwandishi alichoweka.

Kama utashindwa kuyapata hayo maswali ya mwandishi katika nukauu yake basi shida itakuwa aidha kwako au kwa mwandishi. Na Lengo lilikuwa nini????

Queen Esther
 
Habari za asubuhi GT's

Leo katika kupitia magazeti asubuhi hii nimekutana na kichwa cha habari kikubwa chenye picha ya Rais wetu JPM na picha yenye ukubwa Kama hiyo ya Lowassa wakiwa wametazamana. Rais wetu JPM akiwa anatabasamu na Lowassa akiwa Kama mtu anayefoka.

Picha hizo na hicho kichwa cha habari zimechukua asilimia 90 ya ukurasa wa kwanza wa gazeti. Gazeti hili ni la Nipashe la Leo Tarehe 9/11/2015 (ISSN 0856.No 0578662).

Baada ya kutoa Utangulizi naomba kutoa hoja:-

1. Gazeti la Nipashe limeshindwa kuweka picha sahihi kwa heshima ya Rais wa awamu ya 5 na hilo ni kutokumtendea haki. Huwezi kuweka picha za ukubwa SAWASAWA na zaidi huyu Lowassa anaonekana Kama anatoa maneno makali kwa Rais wetu Dr. JPM

2. Gazeti la Nipashe linatakiwa kufahamu kipindi cha kampeni kimekwisha na Rais amepata kana. Huwezi kutoa umuhimu sawa kwa vitu visivyolingana.

3. Taarifa hii imepewa uzito mkubwa na ina Lengo fulani nyuma Yake ambayo wenye Hekima wamenielewa.

4. Sasa na kuja kwenye ujumbe wenyewe (contents)
- Naomba Mhe. Lowassa na watu wake wafahamu kuwa Rais wa awamu ya tano Dr. JPM anatimiza ilani ya CCM.

- Ni makosa ya kiufundi na ya kitaalamu kwa wasaidizi wa Lowassa kumshauri aje kwenye vyombo vya habari kukosoa utekelezaji wa ilani ya CCM kupitia Rais wake ambaye mpaka sasa Chadema hawajamtambua.

- Namna Yake (Lowassa) ya kutoa elimu bure aendelee kuiweka na siku akiwa Rais aitumie, kwanza ni vizuri CCM hawaku copy maana ingekuwa nongwa.

- Serikali ya CCM imeanza kutekeleza Yale iliyosema kwenye kampeni kupitia ilani ambayo kwa upande wa Chadema hatukuona mgombea hata mmoja wa Chadema akikabidhiwa. Sasa kiherehere cha nini?????

- Nashauri WAPAMBE wa Lowassa muachane na kukosoa ilani ya CCM kwani muda wa kampeni UMEISHA na sasa ni muda wa utekelezaji. "#HAPA KAZI TU#

- Nashauri Mhe. Lowassa uwe mvumilivu na uiache awamu ya 5 itekeleze majukumu yake. Mambo ya kutafuta waandishi wa habari ili uwe unafuta nyayo za Rais ni sehemu ya uhaini. Pia unasahau kuwa "Mamlaka na iheshimiwe na watu wote".

- Chochote unachokosoa kuanzia sasa kuhusu serikali ya awamu ya 5 uwe na reference ambayo ni Ilani ya CCM na sio maneno yako wakati upo kwenye majukwaa ya siasa. CCM haitekelezi maneno yako au matakwa yako.

- Kama kweli wewe ni mzalendo na unataka tujenge Tanzania yetu na unaona kuna hoja ya msingi; omba appointment kamuone Mhe. Rais.

- Achana kabisa na mambo ya kutafuta umaarufu kwenye magazeti na vyombo vya habari kujaribu ku water down juhudi za mheshimiwa Rais. Watanzania hatutaki malumbano sasa tunataka kuona kazi. (#Hapa ni Kazi Tu#)

Naomba kuwasilisha.

Queen Esther

============================================

Chanzo: Nipashe

Unataka watu waishi kwa hofu ya kuwa kampeni zimeisha na hakuna kukosoa pale ambako mambo hayako sawa!! NAmna hii ndio maana katiba mpya muliichakachua!! Ok pigeni marufuku na wekeni magari ya delaya na kwenye magazeti!!
 
jfpost.jpg

​
 
Huyu Queen sijui kala maharage ya wapi huyu.... heading na contents zinatofautiana....

Nimenukuu heading na content kama ilivyo kwenye gazeti. Kwa hali hiyo huyu mwandishi ndio atakuwa kala hayo maharagwe.

Queen Esther
 
Mara nyingi kuna msemo unasemage behind every successful man there is woman behind and vice versa. Lkn behind any stupid man there is a woman behind. Na ndivyo ilivyo kwa hawa jamaa wanaooa toddlers badala ya mwanamke. Mawazo yao yanarudi kuwa ya kitoto. Haya magazeti ni ya mtu wa kilimanjaro - north. Usitegemee yampambe Magufuli. Bado wana maumivu wsli invest so much kumsafisha Lowassa na kumsaidia. Lkn Mungu si Athumani. Wameisoma namba. Magazeti haya hutumika sana kuwachafua watu hada wa kanda ya ziwa. Magufuli ndio rais atake asitake na wala hawezi kubadili matokeo ale malimau tu kama ana kichefuchefu na alee wajukuu kwa amani.

Suala la sera (ilani) kuhusu elimu ambayo ni Tanzania nzima kati ya CDM na za (CCM) MAgufuri linaingiaje hapa na ukabila na ukanda!!?????
 
Back
Top Bottom