Wewe unataka kumfanya Rais wetu awe sawa na Mungu Mtu? Nadhani hata Magufuli hataki kuwa hivyo. Hii ni karne ya 21 na uhuru wa mawazo ni haki ya kikatiba. Siyo jukumu la upinzani akiwemo Lowasa kumsujudu Magufuli na serikali yake. Nipashe wanastahili pongezi kutupa upande wa pili wa siasa zetu badala ya kusikia nyimbo zilezile za Uhuru, TBC, Star tv n.k. keep it up!