Lowassa ahoji maswali matatu kwa Magufuli

Lowassa ahoji maswali matatu kwa Magufuli

Wewe unataka kumfanya Rais wetu awe sawa na Mungu Mtu? Nadhani hata Magufuli hataki kuwa hivyo. Hii ni karne ya 21 na uhuru wa mawazo ni haki ya kikatiba. Siyo jukumu la upinzani akiwemo Lowasa kumsujudu Magufuli na serikali yake. Nipashe wanastahili pongezi kutupa upande wa pili wa siasa zetu badala ya kusikia nyimbo zilezile za Uhuru, TBC, Star tv n.k. keep it up!


Rais keshapatikana ni Magufuli
na Lowassa kashindwa hata kwa kura moja inambidi amheshimu aliyemshinda kwa miaka yote mitano
hii midomodomo yenu ndio maana Sheria za mitandao zikawekwa
hakuna siku hata moja wapinzani hasa wa CHADEMA wakakubali Serikali iliyopo Madarakani
ningemshauri Lowassa akachunge ng'ombe huko Monduli
Huyo Mengi walishampopoa Diamond kwa ajili ITV sasa kuinganisha picha ya Rais na wagombea wengine 8 au yeyote bado sio weledi na ni utovu
vitendo km hivi vilikuwa kwa Jakaya Magufuli keshasema yeye ndiye Rais
hatua atakazochukua msijelaumu
jfpost.jpg
 
Kawafundishe kazi basi uwe mhariri mkuu maana unataka kuwapanda kichwani
 
Sasa Lowasa amechanganyikiwa. Angeweza kuahidi chichote kwa lengo la kwenda Ikulu. Angeweza hata kusema bia zitatolewa bure kwa walevi. Lowasa anatakiwa ajue wananchi wa Tanzania waligundua ni USANII na gia ya kuingia Ikulu ndio maana wakampiga chini. Kumbuka hata kule Zanzibar aliwaahidi kuwa Zanzibar itakuwa na mamlaka kamili ikiwa ni pamoja na uanachama wa UN na World Bank kama kila siku baadhi ya Wazanzibari wanavyodai. Ukijiuliza huyu Lowasa mwanasiasa mkongwe na mwelewa ni kweli alimaanisha alichozungumza kuwa Zanzibar yenye mamlaka kamili NDANI ya muungano? Ingewezekana iwe mwanachama wa UN au WB na wakati huo huo Tanzania nayo ni mwanachama? Ndio maana wananchi tukaona huu ni usanii wenye nia moja tu ya kwenda Ikulu na baada ya hapo imetoka, hivyo tukakupiga CHINI mzee lowasa
 
sasa lowasa amechanganyikiwa. Angeweza kuahidi chichote kwa lengo la kwenda ikulu. Angeweza hata kusema bia zitatolewa bure kwa walevi. Lowasa anatakiwa ajue wananchi wa tanzania waligundua ni usanii na gia ya kuingia ikulu ndio maana wakampiga chini. Kumbuka hata kule zanzibar aliwaahidi kuwa zanzibar itakuwa na mamlaka kamili ikiwa ni pamoja na uanachama wa un na world bank kama kila siku baadhi ya wazanzibari wanavyodai. Ukijiuliza huyu lowasa mwanasiasa mkongwe na mwelewa ni kweli alimaanisha alichozungumza kuwa zanzibar yenye mamlaka kamili ndani ya muungano? Ingewezekana iwe mwanachama wa un au wb na wakati huo huo tanzania nayo ni mwanachama? Ndio maana wananchi tukaona huu ni usanii wenye nia moja tu ya kwenda ikulu na baada ya hapo imetoka, hivyo tukakupiga chini mzee lowasa

usiwe kilaza ndugu utaolewa?
 
Mpendwa natambua mchango wa upinzani na umeleta maendeleo kwa kuisimamia Serikali vizuri katika maeneo kadhaa.

Naomba tuwe objective zaidi. Nchi ni yetu sote na tunataka kuona mabadiliko ya kweli. Tumpe muda Mhe Rais na pia tukosoe objectively. Hilo linampa heshima hata mkosoaji mwenyewe.

Asante

Queen Esther

r
Kumbuka kuna watoto wa walala hoi wamekosa mkopo, sasa ulitegemea rais asikumbushwe?
 
maswal matatu hakuna!!!!jf c great thinker tena!!!its idiot!!!!!lowasa anachosema ni ilani yake na magufuli anachotekeleza ni ilani yake kutoka chama chake!!!wananchi wakamwamini magufuli akawa rais!!!!so!lowasa his so stupidy person
 
Nimecheka hapo anapodai gazeti limeweka picha ya lowassa inayolingana Na Magufuli!???

Kwa hiyo ni ka kama anamvunjia heshima !!!?

Eti ya lowasssa iltakiwa iwe Mdogo ,,!!!!!$ijui kama pasipoti ??
Makubwaaaaaa
 
kama gazeti la NIPASHE LIMEKOSEA lichukuliwe hatua kama UKAWA TALLYING STATION au wale walioneza taarifa kwamba makada wa CCM ni mijizi na ilikutwa na masanduku yenye kura feki..
Kwa maoni yangu hupaswi kumpa dhalimu pumzi inapobainika amedhulumu..
mapambano ya haki hayanaga kikomo..
kimomo chake ni pale haki inapopatikana..
CCM bana wanataka waachwe kama walivyo wakati mijizi..
wangeonesha uungwana basi hata kule Zenji walikokula mweleka wa wazi kabisa.
 
Kinachoangaliwa ni uhalali WA mheshimiwa lowasa kuhoji utendaji WA john pombe magufuli wakati hamtambui kama ni raisi WA jamhuri.
 
Habari za asubuhi GT's

Leo katika kupitia magazeti asubuhi hii nimekutana na kichwa cha habari kikubwa chenye picha ya Rais wetu JPM na picha yenye ukubwa Kama hiyo ya Lowassa wakiwa wametazamana. Rais wetu JPM akiwa anatabasamu na Lowassa akiwa Kama mtu anayefoka.

Picha hizo na hicho kichwa cha habari zimechukua asilimia 90 ya ukurasa wa kwanza wa gazeti. Gazeti hili ni la Nipashe la Leo Tarehe 9/11/2015 (ISSN 0856.No 0578662).

Baada ya kutoa Utangulizi naomba kutoa hoja:-

1. Gazeti la Nipashe limeshindwa kuweka picha sahihi kwa heshima ya Rais wa awamu ya 5 na hilo ni kutokumtendea haki. Huwezi kuweka picha za ukubwa SAWASAWA na zaidi huyu Lowassa anaonekana Kama anatoa maneno makali kwa Rais wetu Dr. JPM

2. Gazeti la Nipashe linatakiwa kufahamu kipindi cha kampeni kimekwisha na Rais amepata kana. Huwezi kutoa umuhimu sawa kwa vitu visivyolingana.

3. Taarifa hii imepewa uzito mkubwa na ina Lengo fulani nyuma Yake ambayo wenye Hekima wamenielewa.

4. Sasa na kuja kwenye ujumbe wenyewe (contents)
- Naomba Mhe. Lowassa na watu wake wafahamu kuwa Rais wa awamu ya tano Dr. JPM anatimiza ilani ya CCM.

- Ni makosa ya kiufundi na ya kitaalamu kwa wasaidizi wa Lowassa kumshauri aje kwenye vyombo vya habari kukosoa utekelezaji wa ilani ya CCM kupitia Rais wake ambaye mpaka sasa CHADEMA hawajamtambua.

- Namna Yake (Lowassa) ya kutoa elimu bure aendelee kuiweka na siku akiwa Rais aitumie, kwanza ni vizuri CCM hawaku copy maana ingekuwa nongwa.

- Serikali ya CCM imeanza kutekeleza Yale iliyosema kwenye kampeni kupitia ilani ambayo kwa upande wa Chadema hatukuona mgombea hata mmoja wa Chadema akikabidhiwa. Sasa kiherehere cha nini?

- Nashauri WAPAMBE wa Lowassa muachane na kukosoa ilani ya CCM kwani muda wa kampeni UMEISHA na sasa ni muda wa utekelezaji. "#HAPA KAZI TU#

- Nashauri Mhe. Lowassa uwe mvumilivu na uiache awamu ya 5 itekeleze majukumu yake. Mambo ya kutafuta waandishi wa habari ili uwe unafuta nyayo za Rais ni sehemu ya uhaini. Pia unasahau kuwa "Mamlaka na iheshimiwe na watu wote".

- Chochote unachokosoa kuanzia sasa kuhusu serikali ya awamu ya 5 uwe na reference ambayo ni Ilani ya CCM na sio maneno yako wakati upo kwenye majukwaa ya siasa. CCM haitekelezi maneno yako au matakwa yako.

- Kama kweli wewe ni mzalendo na unataka tujenge Tanzania yetu na unaona kuna hoja ya msingi; omba appointment kamuone Mhe. Rais.

- Achana kabisa na mambo ya kutafuta umaarufu kwenye magazeti na vyombo vya habari kujaribu ku water down juhudi za mheshimiwa Rais. Watanzania hatutaki malumbano sasa tunataka kuona kazi. (#Hapa ni Kazi Tu#)

Naomba kuwasilisha.

Queen Esther

============================================



Chanzo: Nipashe

Unajua tusiwe wajinga kiasi chakupitiliza, lazima tukubali demokrasia inamisingi yake... Na moja ya misingi ni lazima kwa kiongozi aliye patikana kwa njia ya demokrasia kuwajibika kwa wanainchi wote pasipo kijali makundi yaliyo mchagua au la! Na ndo maana anakua raisi wa jamuhuri ya muungano, au pengine umesha sahau lowasa ni wananchi wa tz na haki sawa na yule anaetajwa na katiba ya tz kitu ambocho kinapa nguvu, haki, mamlaka ya kuhoji lakini kwasas babu mtu moja hana hoja, amekosa mwelekeo kabisa anatetemeka Anatoka mbele ya uma na kutoa hoja za kipuzii namna hii!! Elimu elimu elimu tz
 
Habari za asubuhi GT's

Leo katika kupitia magazeti asubuhi hii nimekutana na kichwa cha habari kikubwa chenye picha ya Rais wetu JPM na picha yenye ukubwa Kama hiyo ya Lowassa wakiwa wametazamana. Rais wetu JPM akiwa anatabasamu na Lowassa akiwa Kama mtu anayefoka.

Picha hizo na hicho kichwa cha habari zimechukua asilimia 90 ya ukurasa wa kwanza wa gazeti. Gazeti hili ni la Nipashe la Leo Tarehe 9/11/2015 (ISSN 0856.No 0578662).

Baada ya kutoa Utangulizi naomba kutoa hoja:-

1. Gazeti la Nipashe limeshindwa kuweka picha sahihi kwa heshima ya Rais wa awamu ya 5 na hilo ni kutokumtendea haki. Huwezi kuweka picha za ukubwa SAWASAWA na zaidi huyu Lowassa anaonekana Kama anatoa maneno makali kwa Rais wetu Dr. JPM

2. Gazeti la Nipashe linatakiwa kufahamu kipindi cha kampeni kimekwisha na Rais amepata kana. Huwezi kutoa umuhimu sawa kwa vitu visivyolingana.

3. Taarifa hii imepewa uzito mkubwa na ina Lengo fulani nyuma Yake ambayo wenye Hekima wamenielewa.

4. Sasa na kuja kwenye ujumbe wenyewe (contents)
- Naomba Mhe. Lowassa na watu wake wafahamu kuwa Rais wa awamu ya tano Dr. JPM anatimiza ilani ya CCM.

- Ni makosa ya kiufundi na ya kitaalamu kwa wasaidizi wa Lowassa kumshauri aje kwenye vyombo vya habari kukosoa utekelezaji wa ilani ya CCM kupitia Rais wake ambaye mpaka sasa CHADEMA hawajamtambua.

- Namna Yake (Lowassa) ya kutoa elimu bure aendelee kuiweka na siku akiwa Rais aitumie, kwanza ni vizuri CCM hawaku copy maana ingekuwa nongwa.

- Serikali ya CCM imeanza kutekeleza Yale iliyosema kwenye kampeni kupitia ilani ambayo kwa upande wa Chadema hatukuona mgombea hata mmoja wa Chadema akikabidhiwa. Sasa kiherehere cha nini?

- Nashauri WAPAMBE wa Lowassa muachane na kukosoa ilani ya CCM kwani muda wa kampeni UMEISHA na sasa ni muda wa utekelezaji. "#HAPA KAZI TU#

- Nashauri Mhe. Lowassa uwe mvumilivu na uiache awamu ya 5 itekeleze majukumu yake. Mambo ya kutafuta waandishi wa habari ili uwe unafuta nyayo za Rais ni sehemu ya uhaini. Pia unasahau kuwa "Mamlaka na iheshimiwe na watu wote".

- Chochote unachokosoa kuanzia sasa kuhusu serikali ya awamu ya 5 uwe na reference ambayo ni Ilani ya CCM na sio maneno yako wakati upo kwenye majukwaa ya siasa. CCM haitekelezi maneno yako au matakwa yako.

- Kama kweli wewe ni mzalendo na unataka tujenge Tanzania yetu na unaona kuna hoja ya msingi; omba appointment kamuone Mhe. Rais.

- Achana kabisa na mambo ya kutafuta umaarufu kwenye magazeti na vyombo vya habari kujaribu ku water down juhudi za mheshimiwa Rais. Watanzania hatutaki malumbano sasa tunataka kuona kazi. (#Hapa ni Kazi Tu#)

Naomba kuwasilisha.

Queen Esther

============================================



Chanzo: Nipashe

CCM msichotaka kusikia ni kwamba "Mwisho wa Uchaguzi ni Mwanzo wa Maandalizi ya Uchaguzi Unaofuata"...

Nina hakika mnafanya hivyo kwa MAKUSUDI mkishirikisha vyombo vya DOLA. Hacheni siasa ya "Vyama Vingi" ichukue nafasi yake, vinginevyo mnataka vurugu!
 
Wewe mpuuzi kweli! Nini maana ya "opposition parties?" Kazi yao ni kuikosoa serikali na kuipa changamoto ya kuwajali wananchi. Wewe unataka msikosolewe, yaani tuwaache mfanye madudu miaka 5 halafu tuje kuombana samahani au?! Futeni vyama vingi, mbaki nyie sasa. Tungejuaje kuhusu ESCROW, EPA nk bila wapinzani?!
Hekima yako ni sifuri, na unamdhalilisha "malkia Esther" unayetumia jina lake kama ID yako. Nyambafu kabisa.
hivi ni Nchi gani ina wapinzani nyambafu km ninyi
hata siku 2 hazijapita za utawala mnaanza na midomodomo Lowassa keshasema anaenda chunga Ng'ombe Monduli sasa sera zake za Elimu, Elimu, Elimu si atazileta 2020 kwani hata ACT, CUF na wengineo wanazo
Huko Marekani kwenye Demokrasia ya zaidi ya miaka 200 sijawahi kusikia vitisho vya kitoto km hivi Demokrat wakishika Madaraka Republic wanahoji na kuanza kupinga hata kabla
kwanini msisubiri wakati wake ukifika mwezi Agost 2020? muulize hii Elimu ya Sekondari mbona CCM haikuifanyia kazi?
Hii mitandao sasa idhibitiwe na si wakati wa Jakaya huu Mumuheshimu Rais aliyepo madarakani
wenzako wamebadili hata ID zao au kujificha kabisa kwani mnaichafua hata JF inaonekana ni kupinga kila kitu
wenzako wengine wapo Mahakamani kwa ajili ya whatsap eti :-
Makamanda Nchi ina vita,
vijana wa4 wamekufa Mwanza

​
 
Kinachoangaliwa ni uhalali WA mheshimiwa lowasa kuhoji utendaji WA john pombe magufuli wakati hamtambui kama ni raisi WA jamhuri.

Tatizo wanaccm wanajua udhaifu wa magufuli kwa hiyo wanajaribu kutumia ujanjaujanja eti wa kutokumkosoa. Eti nini! si yeye ndiye alisema kuanzia mwakani watoto hawatadiawa ada? Upinzani unamwambia afafnue kauli yake. Mnadhani kwa sababu ni magufuli upinzani wataacha kumkosoa yeye na serikali yake? kazi ya upinzani ni kuonesha jinsi ahadi zenu mlizotoa zilivyo za uongo na ujanjaujanja sio kukaa kimya. Mnadhani kwa vile Mmeshindisha Magufuli kwa nguvu basi eti ni rais na walie walioshindwa kwa hila wanapaswa kukaa kimya bila kukosoa? Mbona hakusubiri hao mawaziri waapishwe ndio atoe maagizo? Upinzani utafuatilia hatua kwa hatua kila takalolifanya Magufuli na kila analosema mpka 2020 km atakuwa hajakimbia ofisi! Mtakoma mwaka huu! Enzi za kutoa ahadi za uongo zimekwisha! Tutafuatilia kila kilichoahidiwa na hamtapumua miaka hii mitano! Shenzi nyie! wezi wakubwa!
 
Hakuna anayebishia suala la kukosolewa. Ila hivi kweli siku 7 tu za kuingia ikulu ndio jawabu ya kila kero kupatiwa suluhisho. Lets be serious. Au mna mtindio wa ubongo. Nyie na hizo fikra zenu mgando. Hata Mungu hakuiumba dunia kwa siku moja. Tulieni msikilize mziki mkubwa wa tingatinga. Wengine kachungeni ngombe sasa nayo ni ajira
 
Mbona wewe unaonyesha ni mpumbavu tu hata hujilewi. Umeshasema ni raisi wa ccm. Halafu bado unazidi kuonyesha ujuha wako.

Unakidhalilisha chama chetu kwa kujifanya unahekima kumbe sifuri. Wana Ccm wa kweli tunaamini katika kukosoana bila kukosana, kupingana bila kupigana mwa misingi ya umoja na uhuru. Unataka wapinzani wasitoe mawazo yao, wakasikilizwa, unataka kuniambia hao wapoinzani ni wananchi wa nchi gani? Hivi unajua ccm tumebakia wangapi na kama tukiwabagua hawa wapinzani kwamba hatutaweza kuhimili vishindo vyao?

Hicho kiburi chako na ujuha unaopandikiza hapa, utakuja kuelewa athari zake pale wapiga kura watakapoanza kuwasilisha maumivu yao ya kuharibiwa kwa uchaguzi na kubandikwa raisi asiychaguliwa kwa nguvu ya tume ya lubuva na Makamba January.

Usidhani Ccm tunanguvu ya kuwashinda Watanzania wakiamua hata kama tutandelea kutumia vitisho na mizinga.

Mwenye nchi siyo ccm. Tanzania ni ya Watanzania na kila Mtanzania anayohaki ya kutoa mawazo yake, na kuthaminiwa kwa faida ya wote. Haya wanayoyasema Wapinzani ni kwa faida ya taifa zima. Cheo ni Dhamana, nitatumia elimu yang ukwa faida ya wote.

Hiyo tabia ya ubinafsi na ugandamizaji wa fikra unautoa kwenye ilani gani ya ccm wwe? Kama kuulizwa maswali ni kudharuliwa, ulipaswa kumshauri raisi wetu atangaze kuanzia sasa Tanzania inaendeshwa kwa misingi ya ki dictator. Ficha upumbavu wako.
 
Back
Top Bottom