wasalaam;
binafsi ninawasiwasi na afya ya mgombea urais kupitia chadema ndugu lowasa. Ila toka ahamie chadema yakhe hajawahi simama jukwaani zaidi ya dakika kumi.
naomba mliopo iringa mtujuze leo kaweka rekodi ya dakika ngapi?
yakhe umejibu kishabiki zaidi. ngoja raia wa kawaida wajibu sheikhe
yakhe umejibu kishabiki zaidi. ngoja raia wa kawaida wajibu sheikhe
hatakama atakuwa kwenye machela tutampa tu kura zetu malofa
Mkoa mmoja na majimbo yake yote so utaendelea ona picha tofauti kwa kila siku,,kama kesho mkoa mwengine na majimbo yake saa tofauti na mda tofautiNa picha zenyewe zinaonekana ni kutoka viwanja tofauti. Mwaka huu tutalishwa propaganda na hivi vyama vya siasa mpaka tutajuta kuzaliwa.
Mkoa mmoja na majimbo yake yote so utaendelea ona picha tofauti kwa kila siku,,kama kesho mkoa mwengine na majimbo yake saa tofauti na mda tofauti maeneo tofautiNa picha zenyewe zinaonekana ni kutoka viwanja tofauti. Mwaka huu tutalishwa propaganda na hivi vyama vya siasa mpaka tutajuta kuzaliwa.
Daah jinsi huyu jamaa anavyopendwa hata akienda chooni watu watamfuata tu,hakuna namna apewe uraisi kwakweli.
wewe ndo unaedanganywa mpaka leo hujajua lowasa kaja kuharibu mchezo wa m4c?.......Hivi hujajua kwanini jana kashindwa soma sera ya chama kaiishia kuwahaidi kufatilia kwenye mtandao.
Unataka awe na afya nzuri ili aje akufanyeje hapo?
Hapo ni Mfindi siyo Iringa mjini.
naombeni jibu jamani kwa wananchi wa iringa. najua majukumu ya rais hivyo kabla sijampigia kura lazima nijiridhishe yu mzima haswa. sipendi turudie uchaguzi kabla ya miaka 5