Lowassa afunika dar

Lowassa afunika dar

CCM itafanya kosa kubwa sana kumsimamisha Lowassa kuwa mgombea wa Uraisi kwa tiketi ya CCM. Lowassa ana machafu na mabaya mengi ambayo yanaweza kumuangusha vibaya sana. Hii ni ishara ya kuiachia Chadema kuingia Ikulu.

Tukumbuke katika uchaguzi wa jimbo la Arumeru mashariki jinsi Lowassa alivyouumbuka wakati akijaribu kumpigia kampeni mkwe wake dhidi ya mgombea wa Chadema.

Kuna watu safi na wazuri ndani ya CCM ambao wanakubalika nje na ndani ya chama. Hawana doa la ufisadi na ni waadilifu, wana uzalendo wa kweli na Tanzania yetu na wana uwezo wa kujenga na kupangua hoja.

Kwa maoni yangu ninamuona Mh Wassira tu ndiye mwenye uwezo wa kusimama na kupeperusha bendera ya CCM katika kugombea kiti cha Uraisi.
 
Umaarufu wa wagombea wa vyama vya ushindani upo bungeni, sasa slaa sio mbunge tena ulitaraji huo umaarufu autoe wapi tena wkt ku2wa nzima anashinda ufipa?.... waambie chadema wajitahidi sana kusoma alama za nyakati... kumrudisha slaa kama mgombea urais kwa tiketi ya chadema ni janga kuu kwa chama hicho kwan historia ni mwalim mzuri...
 
Acha ushabiki wako wa kijingajinga, lowasa jembe... kumuongea vibaya huo ni mtizamo wako usioweza kuubadilisha ukweli... mwanasiasa wa kupambana naye toka chadema niliyekuwa nahc ndo pekee awezaye kucmika na lowasa, bahati nzuri au mbaya naona ndo mnataka kumfukuza chamani.. tofauti na huyo hakuna wa kusimika na huyo mzee.... LOWASSA MWAMBA WA KASKAZINI
 
attachment.php
 
Mmmmmhhhh, kweli wewe huoni kabisaaaaa, hivi wasira na slaa wakisimama babu wasira si ataachwa sana ?
Wasira hajulikani babuuuuu!!! Watz wengi huchagua kwa mtu kufahamika eg. Lowasa, slaa are exctly the prominent figures of 2015!!!!!
 
CCM itafanya kosa kubwa sana kumsimamisha Lowassa kuwa mgombea wa Uraisi kwa tiketi ya CCM. Lowassa ana machafu na mabaya mengi ambayo yanaweza kumuangusha vibaya sana. Hii ni ishara ya kuiachia Chadema kuingia Ikulu.

Tukumbuke katika uchaguzi wa jimbo la Arumeru mashariki jinsi Lowassa alivyouumbuka wakati akijaribu kumpigia kampeni mkwe wake dhidi ya mgombea wa Chadema.

Kuna watu safi na wazuri ndani ya CCM ambao wanakubalika nje na ndani ya chama. Hawana doa la ufisadi na ni waadilifu, wana uzalendo wa kweli na Tanzania yetu na wana uwezo wa kujenga na kupangua hoja.

Kwa maoni yangu ninamuona Mh Wassira tu ndiye mwenye uwezo wa kusimama na kupeperusha bendera ya CCM katika kugombea kiti cha Uraisi.

huyo wasira wako mwambie arudi kwanza porini evolution ikikamilika ndo arudi ajipange
 
lowasa ni politician mwenye mapafu ya mbwa kuliko wote tz.hutaki tuliza kipago.
 
Back
Top Bottom