Lowassa afunika dar

Lowassa afunika dar

Naungana na wewe, EL ni mvumilivu sana ila sina hakika na roho ya kusamehe na kutolipiza visasi.

Ni kweli, ukimchunguza Elli utagundua toka ajiuzulu amebadilika ile confidence imeondoka, kawa mpole, hata ikatokea amekuwa rais hatweza kudeliver unless akubali kuondoa kinyongo, aunde maridhiano afanye kazi na maadui zake wajenge taifa, otherwise hataweza kuongoza hii nchi na pengine tukashuhudia rais wa kwanza kufia ikulu kutokana na ugonjwa wa moyo.

Lowassa ana washauri wazuri sana, lakini kinachombeba ni network liyonayo, nachofaam mpaka sasa Elly ana marafiki wakuu wanne. Rostam, Jk, sophia simba na beatrice shelukindo. Sasa huyu rostam ndie ametoka kutangazwa taajiri no one tanzania, jk ana dola, shelukindo na simba ni kura za wanawake. Hapo kwa JK lowasa alishasema JK ni rafiki yake anampenda sana kikwete na anamuheshimu,hawjakutana barabarani kikwete hajawahi kusema chochote kuhusu mahusiano yake na Eli ila kwa tabia ya JK huwa ni mtu wa kuangalia upepo (ana tabia ya kuheshimu maawazo na matamanio ya wananchi) ataangalia, akiona lowassa ana upepo, atambeba akiona hana nguvu atampiga chini. So tutegemee lolote
 
hivi umoja wa waendesha bodaboda kwa DSM unaitwaje?
 
Imedhihirika leo kwamba mh Edward Lowassa sio tu kwamba anapendwa bali pia ni tegemeo kubwa kwa watanzania wanyonge na wa hali ya chini.
Umati wa watu ambao haujawahi kuonekana pamoja na waendesha bodaboda wapatao elfu zaidi ya elfu ishiriki wamejumuika nae leo wakati alipokaribishwa kuwa mgeni rasmi wa chama chao.

duh wew kweli kiloriti mkubwa... na wew ulipewa tshirt ya njano nini?
 
Huyu mtu alijiuzulu kwa ufisadi, habari ndiyo hiyo!

Hata apokelewe na kadamnasi ya watu, huo ni ukweli usiopingika.

Ni mchafu hasafishiki!!!
endelea kusema hivyo,huko kenya napo walikua wanasema uhuru muuaji,mwizi wa ardhi etc..matokeo uliyaona.
 
Ukitulia na kutafakari kwa kina, unaweza usiamini kama Lowasa leo hii anaweza akapigiwa debe namna hii.

Ametembeza pesa chafu tu hapo, wala huhitaji rocket science hapa kubaini nini kinaendelea. Na pesa hizi zimesambazwa pia kwa viongozi wa dini, wabunge, wajumbe wa NEC ya CCM, wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, media, baadhi ya viongozi wa upinzani, etc
 
Lowassa hajajiuzulu kwa ufisadi, kaka usiupotoshe umma... lowassa alijiuzulu kwa kile kinachoitwa political responsibility.... usiishi kama msukule wkt ubongo unao. Acha wivu za kike.
 
Hata mimi nashangaa.As if waliandaliwa

Kulikuwa na tisheti za aina tatu, hiyo sio yellow as such, ni ile rangi ya kishambashmba kama kijivu, hawa wa kutoka temeke, kulikuwa na za zambarau toka wilaya ya kinondoni, na kijani fulani hivi toka ilala, ila zote ni donated from Lowassa
 
Kaka umenena na mwenye mackio na ackie... uhuru kaiwa muuaji lakn leo ndo Rais wa Kenya... kupiga domo hapo JF hakubadili maamuzi ya wananchi... polen sana wenye mawazo hasi.
 
Ni kweli, kinondoni ilisimama zaidi ya saa mbili leo kumpisha lowassa, utafikiri ndio kafanyiwa inauguration

Acha hizo, kazi zingine zliendelea kama kawa,, labda useme clouds ndio ilisimama.
 
Moshi alichangia Bilion moja, mwanza milioni 600. Dar nao wamefuata dau lau na si mapenzi wala kumpenda EL bali dau ndilo MKUKUTA /MKURABITA. Usicheze na ugumu wa maisha wa sasa.
 
Moshi alichangia Bilion moja, mwanza milioni 600. Dar nao wamefuata dau lau na si mapenzi wala kumpenda EL bali dau ndilo MKUKUTA /MKURABITA. Usicheze na ugumu wa maisha wa sasa.
boda boda wa dar wamepewa shilingi ngapi na EL?
 
Subira yavuta heri. Tungoje tuone ni nini kitatokea wakati wa mchakato wa kutafuta mgombea uraisi CCM.
 
Ametembeza pesa chafu tu hapo, wala huhitaji rocket science hapa kubaini nini kinaendelea. Na pesa hizi zimesambazwa pia kwa viongozi wa dini, wabunge, wajumbe wa NEC ya CCM, wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, media, baadhi ya viongozi wa upinzani, etc

naona hapa unaongea hvyo kama mama yako!kma unayo ushaidi ci upeleke kweny vyombo husika
 
Back
Top Bottom