Mpevu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 1,803
- 178
Mkuu,Huyu mtu alijiuzulu kwa ufisadi, habari ndiyo hiyo!
Hata apokelewe na kadamnasi ya watu, huo ni ukweli usiopingika.
Ni mchafu hasafishiki!!!
Hebu isome vema avatar yangu, uielewe.
Mkuu,Huyu mtu alijiuzulu kwa ufisadi, habari ndiyo hiyo!
Hata apokelewe na kadamnasi ya watu, huo ni ukweli usiopingika.
Ni mchafu hasafishiki!!!
Lowassa ndiyo kiboko ya Chadema.
Watanzania wote tupimwe akili huenda hatujitambui!
Mara hii ya Lowassa wameshayasahau!
Duh naitishwa na harakati za lowassan lakini nimejifunz jambo kutoka kwa huyu bwana, kuhusu uvumilivu
Huyu mtu alijiuzulu kwa ufisadi, habari ndiyo hiyo!
Hata apokelewe na kadamnasi ya watu, huo ni ukweli usiopingika.
Ni mchafu hasafishiki!!!
Lowassa ni fisadi tu, hana jipya. Anatumia pesa kununua kuungwa mkono na watu wenye fikra finyu. Ameshajua kuwa tatizo la watanzania ni njaa na akili finyu, ukiwamwagia pesa wanakulamba mpaka miguu.
Huyu ana laana ya Mwalimu Julius Nyerere. Hana maadili na uzalendo wa kuwa kiongozi ambaye Tanzania inamuhitaji. Ana husudu sana mali na wafuasi wake wakubwa ni kina Rostam Aziz, Andrew Chenge, Prof. Juma Kapuya, Deo Filikunjombe, Makongoro Mahanga, Vita Kawawa, Peter Serukamba na Zitto Kabwe.
Duh naitishwa na harakati za lowassan lakini nimejifunz jambo kutoka kwa huyu bwana, kuhusu uvumilivu
Ndo rais ajaye
lowasa ni njembe, naamia kambi ya lowasa nikitokea kambi ya slaa
Lowassa namkubali, JK afanye hima amrejeshe kwenye nafasi ya PM...
Lowasa akunaga