Lowassa aenda Ujerumani kwa matibabu

Lowassa aenda Ujerumani kwa matibabu

Kwenye katiba tuweke kipengele cha Afya ya mgombea na kuspecify kuwa asiwe amewai kuumwa magonjwa............
nazani madr wanaweza kutusaidia kuyainisha
moja la mfano asiwe amewai kuumwa ugonjwa wa akili
 
ImageUploadedByJamiiForums1352041375.972658.jpg akipata baraka
 
Change blood?

Mhh, unafikiri vile vile vibinti vinavyopiga foleni pale St Gasper Dodoma na kukatiwa laki 5, kila wanapotoka vitatoka bure? Mshahara wa dhambi ni mauti na hulipwa hapahapa Duniani.
 
Urais 2015 ndio sababu pekee ya hii habari kupewe too much attention. It's undeserved and unfortunate to Tanzania.Normaly it should have been a mere private thing and should have been kept as such.

Nakala: Pasco wa JF - don't dramatize it plz
 
Mimi ndio nai dramatize hii habari?!
 
Kwenye katiba tuweke kipengele cha Afya ya mgombea na kuspecify kuwa asiwe amewai kuumwa magonjwa............
nazani madr wanaweza kutusaidia kuyainisha
moja la mfano asiwe amewai kuumwa ugonjwa wa akili

Yaani kwa kipengere hiki jk asingekuwa rais..maana anaumwa
 
lowasa atakuwa na ngoma tu, hata jk sidhani kama kasalimika na watoto wa msoga! kazi ipo! mwenzao yule wa peramiho nyonga zilitaka kumuua kwa kupenda design ya lulu! waache watakufa vilema! kipofu mtarajiwa lowassa ugua pole!
 
Tuweke kwenye Katiba Mpya kipengele cha kupimwa Afya kwa viongozi wote ambao watawania nafasi za juu kuanzia Ubunge, Rais, Mwenza, Majaji,Dpp,Igp, Mawaziri/Manaibu, Mwanasheria mkuu na wengineo. Jopo la madaktari lihusike na upimaji huo. Pia viongozi wote watibiwe hapa TZ.
 
Madaktari na hospital za hapa hana mpango nazo je,akipata huo urais ndio ataweza kuzibolesha mamaeee zake huyu fisadi?..... Watu wengime hawana akili wanalipgia debe fisadi.
 
Pole mr fisadi mungu akuponye haraka Ili utusaidie kuimaliza ccm.
 
Huyo ndo mnataka kumpa nchi? Jicho tu ulaya, pesa ya mtanzania si itaishia kwenye matibabu ya ikulu?

Au anaenda ga kurenew ka bladi??jicho tu ujereman?khaaa!!
 
Pasco

Mshauri Lowassa akubali yaishe. Uraisi atauweza kweli?

Afya imeshakuwa mgogoro.

"Wameijenga" Tanzania yetu..uchumi "unapaa". Wamehakikisha Zahanati na mahospitali yetu yana wataalamu wa kutosha,vifaa, na madawa ya kutosha...sasa anaenda Ujerumani kufanya nini?

Au uzalendo umemshinda? "Anabana" matumizi kama Prof.Mhongo?

CCM hata wakimsimamisha mgonjwa aliye ICU "atashinda kwa kishindo" kwa tume ya uchaguzi tuliyonayo na katiba ya 1977.
 
Tanzania yangu mafuriko ya wanasiasa, ukame wa viongozi. Jamani ungwanna vitendo.
 
kitanuka tu hata wajifiche namna gani Mungu atawaumbua tu kwa maovu walio yatenda
 
Back
Top Bottom