Anatekeleza kwa vitendo kweli kweli
Mwanaume wa ukweli huwa anasimamia anachonena
Huyu ndiye aliyekuwa ana takiwa kuwa rais siyo kama rais wa wale jamaa wanaofukuzana utafikiri waliingiliana kwenye anga zao.
Ahsante sana. Hiyo ndo kazi anaiweza. Mengine alikuwa anajiforce tu
Nakuita mpiga picha ,apige picha ya maigizo.kashika na bakora ndeeefu heh heh kazi kweliNgoja aumwe na nyoka huko porini ndio atajua madhara ya usanii. Mchungaji gani wa ng'ombe anayevaa shati la Versace, suruali toka duka la Harrods na viatu vya kiitaliano akiwa mbugani?
Kwa mambo anayofanya ni bongo movie tosha..Lowassa alipaswa awe bongo movie!
Lowassa alipaswa awe bongo movie!
acha unafiki wewe, hizo ng'ombe ni za bibi yako
Blaza unanidai Kiroba Orijino cha buku...
Aliyekuwa mgombea wa uraisi kwa mwavuli wa UKAWA ndugu Edward Lowasa inadaiwa ameanza kuchunga ng'ombe huko Handeni mkoani Tanga. Ana makazi Ngarash Monduli, Dodoma, Masaki, na sasa uzeeni ni Handeni Tanga anachunga ng'ombe.
Chanzo: Gazeti la Majira.