Mshamba tuu, huu ufugaji wa mwaka 47 nani anaitaka, anatuharibia mazingira.
Kwa hela alizoiba alitakiwa awe na ng'ombe wa kisasa
Ahsante sana. Hiyo ndo kazi anaiweza. Mengine alikuwa anajiforce tu
Mchungaji wake ng'ombe yule Mdosi anaitwa Salim afanye kazi ipi?
Ha ha haaaaaaAmeacha habari za Chato?
Someone tell this old man, huwa hawachungi ng'ombe na makamera!
Wewe huyo wa kwenu akistaafu anaanza kazi ya uchawi
Kwa nini ulikua unanificha hizi habari?
Sahihi kabisa mengine alikuwa anafanya porojo tu yeye ni ufisadi na kuchunga wanyama.Ahsante sana. Hiyo ndo kazi anaiweza. Mengine alikuwa anajiforce tu
Jamaa yenu akikosa uwenyekiti wa PAC anaenda kwenye kazi yake ya uchawi
Kila siku nlikuwa nakuuliza kuhusu mifugo ya mzee....ukawa unaniita mubembe.......vipi unazizungumziaje picha za kuchunga
Wewe siyo mubembe?
anachunga kwenye ranchi ya mzeri. achunguzwe kama kapewa kihalali.
Sio......happy boxing day