Lowassa aanza kuchunga ng'ombe huko Handeni, Tanga

Lowassa aanza kuchunga ng'ombe huko Handeni, Tanga

Jee hiyo Ranch ya haji Handeni SI ilikuwa ranch ya serikali, yeye aliipataje? Ali Fanya bidding ? Walio Bid WALIKUWA wangapi na Alishida kwa kisasi gani? Transparency is necessary for all political leaders hata wale wa ccm waliojipa Mali za serikali,
 
lowasa ni mzalendo wa ukweli

Hapo penye nyekundu ni unafiki, majuzi akiwa nje ya CDM mlikuwa mnamwita FISADI PAPA, leo mzalendo wa ukweli. Huyo Lowasa hajawahi kutamka wala kuthubutu kukemea UFISADI nchini mwetu; hatufai kabisa, aendelee kufanya usanii ndani ya chagga devt manifesto!!!!
 
Hongera baba lowasa sio yule mwenzio aliahidi kwenda kulima mananasi lakini ni yeye na kupanda ndege kama samaki na maji
 
That's true, shangaa kina nkapa hawajitengenezei maisha tulivu wao ni kuwaza namna ya kuwaumiza Watanzania kuwapora haki zao kuwapora maamuzi yao

Lowassa anayo maisha yatakayo msaidia kuondoa stress

Ahsante sana. Hiyo ndo kazi anaiweza. Mengine alikuwa anajiforce tu
.
 
Kumbe hata angepata urais angetekeleza vema ahadi zake km hii ya kuchunga ng'ombe nampa big_up
 
Mwambieni avue hivyo viatu avae matairi ya gali
Ndio kaziyake hiyo
 
Huyu mzee ni bingwa wa siasa tz,nilimpa kura yakaiba makuda.
 
Ulitaka afanye nini, mana akitaka kupanda jukwaani nongwa, sasa kaenda kijijini kwake lkn bado nongwaa.

Kweli magamba hamkosi la kusema!!!

Tunampongeza kwa kuchunga
japo hakuna uhalisia hapo
 
Back
Top Bottom