Lowassa aanza kuchunga ng'ombe huko Handeni, Tanga

Lowassa aanza kuchunga ng'ombe huko Handeni, Tanga

Kwani kuchunga inabidi uvae nini mkuu??

Kweli umasikini unajenga tabiaa!!
Angevaa mgolole hapo ndipo maigizo yangenoga. Hamna cha umaskini wala nini. Sasa zungusha mikono.
 
Mbona kama afya imeimarika huyu jamaa........!!
 
Wewe unayeandika haya bado unaishi kwa wazazi wako mwenzio hapo alipo kila ng'ombe mmoja unayemuona hapo bei yake ni wastani wa sh 1.5m

amepoteza matrilion karudia vimilioni siyo? Hakuna tena namna ya kuiba afikishe matrilion atalambwa bakora
 
Nilichojifunza kwenye hii thread ni ufugaji. Lowassa amenipa kitu kichwani. ukiwa na ng'ombe kiasi hiki mbona furaha
 
mzee makamba aliwah kutudanganya kuwa Handeni lowassa anang'ombe wengi kiasi kwamba anawaangalia kwa helkopta kumbe babu mwongo hv
 
Mkuu ni kweli Mzee Lowasa Achunga Ng'ombe anatekelezaUujumbe wa Mheshimiwa Rais Mgufuli HAPA KAZI TU.

Hahahahaa,Mkuu nakupongeza kwa kuleta pichaza ushahidi kamili, wa mamvi anavyohudumu ofisi yake ya ustaafuu wa kisiasa! Mkuu kula gwala
 
the guy is rich.maskini wa humu jf wanashinda kupiga porojo wee..wakati hata kuku hawana.safi sana Ngoyai...u always do and talk less
 
Duu afya ya Lowassa inaimarika sana...
Tangu afanyiwe maombi na Tb Joshua namuona yuko fit sana..
Hata alivyokuja arusha kenye kampen za lema alikuwa na afya nzuri tofauti na mwanzo...



afya yake ilizidi kuzorota kwakuzunguka nchi nzima wakati wa kampeni ile kazi sio mchezo unaweza anguka gafa ushangae
 
amepoteza matrilion karudia vimilioni siyo? Hakuna tena namna ya kuiba afikishe matrilion atalambwa bakora

We naye, hujui trilioni inajengwa na vimilioni? Hii ubongo wako itakuwa ni usaha anaitumbua JPJM
 
Mchungaji wake ng'ombe yule Mdosi anaitwa Salim afanye kazi ipi?

Hata hamueleweki mnachokitaka, kila siku mnapiga kelele aende kuchunga, kaenda kuchunga mnauliza kwanini anachubga yeye, agrrrrrh
 
Mchungaji ana bodyguard! Naamini huyu Mzee alipata First Class yenye Hons degree yake ya sanaa na Maigizo chuo kikuu cha Dar es salaam!

Acha ujinga wew...hivi mtu kma huyo most wanted namna hiyo akose bod gd??haumsikii dr Magu akiomba aongezewe ulinzi?..au ulitka rais wetu akae porini mwenyewe??kwa taarifa yako ng'ombe huchungwa na wengi......
 
Kizungumziwacho cku zote ni bora...kila afanyacho lowasa knakuwa gumzoo....oky mlisema mgonjwa lkn mpka leo anapeta......
 
Wabongo elimu zetu zimetuharibu sana, kazi za kilimo na kufuga tunziona ni kazi za kijinga sana, tunaona kukaa kwenye AC pale posta ndo dili sana,
 
Back
Top Bottom