Lowassa aanza kuchunga ng'ombe huko Handeni, Tanga

Lowassa aanza kuchunga ng'ombe huko Handeni, Tanga

Nilipiga kura ya Rais/Mbunge na Diwani katika jimbo langu, wote walichukua CDM ila urais kitaifa wamechukua magamba :angry: Rais wangu mamvi.
Mamvi ndiye Rais wa moyo wako? Vipi ameishachukua nafasi ya Dr. Slaa? Una moyo mwepesi mkuu manake unabadilika kirahisi
 
Tehe tehe tehe...maigizo! maigizo, maigizo!

Fisadi Lowassa hana mpinzani anastahili kupewa tuzo bora ya uigizaji kwa mwaka 2015-2016.
 
Back
Top Bottom