General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,186
- Thread starter
- #41
Ngoja aumwe na nyoka huko porini ndio atajua madhara ya usanii. Mchungaji gani wa ng'ombe anayevaa shati la Versace, suruali toka duka la Harrods na viatu vya kiitaliano akiwa mbugani?
Kwani kuchunga inabidi uvae nini mkuu??
Kweli umasikini unajenga tabiaa!!