Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,611
- 59,734
Huyo mweupe ataniuzia m2 nimpe?
Ivi Lowasa na Riz One nani ni Tajiri...
Lowassa alipaswa awe bongo movie!
Mchungaji wake ng'ombe yule Mdosi anaitwa Salim afanye kazi ipi?
Mbona kama afya imeimarika huyu jamaa........!!
Mkuu kweli kabisa hapa mimi naifunza kitu,
Mwenzie Jk safari imeisha yupo Kinondon Morocco anacheza Game za Playstation na wajukuu zake raha mustareeh!
Mzee hana habari, hana muda wa kulumbana na watu, anafanya kazi.
Hii ndio siasa tunayoitaka.
Lowassa anaweza kuchunga ng'ombe tu na sio Urais wa nchi
Lowassa ni kichwa! Ubunifu wake haupimiki, hapo kwenye ng'ombe anajaribu kutuonesha alivyo mnyenyekevu kwa umma wa watanzania. Hiyo ni lugha ya picha Lowassa anaweza kila kitu namtakia maisha marefu.
Ccm lazima waweweseke wakimuona Lowasa, jamaa kukata tamaa mwiko, halafu ktk maisha yake kila alichopata aliwekeza kwenye shughuli za uchumi/uzalishaji, wakati wabaya wake waliwekeza kwenye K, sasa inawaumaje wakimuona jamaa hatetereki!!?
Kaona Magufuli hatanii aliposema atachukua maeneo yote ya ranchi ambayo hayatumiki ipasavyo na kuwagawia wananchi.Lowasa kaona ahamie huko aite na vyombo vya habari ajionyeshe kuwa yeye hilo shamba analitumia ili Magufuli ASILICHUKUE .Lowasa mjanja.Kaona shamba litaondoka akibaki Monduli au Dar katimka mwenyewe mbio.Chezea Magufuli.Magufuli endelea kukakamaa hivyo hivyo.