OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,191
- 103,715
Raisi Magufuli akimjibu Lowasa baada ya kushauri awapeleke mahakamani Mashekhe wa "Uamsho"
"Bahati mbaya wanaokufa ni wa chama kimoja tu fulani,unasimama hadharani unasema hawa watu waachiwe. Nataka polisi mfanye kazi yenu,Hawa wanaoropoka ropoka wakaisaidie polisi katka upelelezi.......Wasiogope cha sura.......WASIOGOPE CHA MWENDO WA MTU,awe na mwendo wa spidi,wa kukimbia, wa polepole...ataeleza vizuri atakaokuwa kule rokapu"