Lowasa unakumbuka maneno haya ya Magufuli?!

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
28,752
2,000

Raisi Magufuli akimjibu Lowasa baada ya kushauri awapeleke mahakamani Mashekhe wa "Uamsho"

"Bahati mbaya wanaokufa ni wa chama kimoja tu fulani,unasimama hadharani unasema hawa watu waachiwe. Nataka polisi mfanye kazi yenu,Hawa wanaoropoka ropoka wakaisaidie polisi katka upelelezi.......Wasiogope cha sura.......WASIOGOPE CHA MWENDO WA MTU,awe na mwendo wa spidi,wa kukimbia, wa polepole...ataeleza vizuri atakaokuwa kule rokapu"
 
Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
9,676
2,000
Basi inawezekana moja ya sababu iliyomfanya amwage masifa kwa Mkulu ni kwa sababu hatimae hakushughulikiwa kwa "uchochezi" kama alivyoshughulikiwa mwenzake Manji.

Hii nchi tulivyo na viongozi wenye maono duni eti walifikia hadi kuhusisha mauaji ya Kibiti na majora ya sare za JWTZ yaliyokuwa "yamekamatwa" kwenye ma-godown ya Manji!! Kwamba, ni kwa ajili ya sare za waasi wa Kibiti.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
30,063
2,000

Raisi Magufuli akimjibu Lowasa baada ya kushauri awapeleke mahakamani Mashekhe wa "Uamsho"

"Bahati mbaya wanaokufa ni wa chama kimoja tu fulani,unasimama hadharani unasema hawa watu waachiwe. Nataka polisi mfanye kazi yenu,Hawa wanaoropoka ropoka wakaisaidie polisi katka upelelezi.......Wasiogope cha sura.......WASIOGOPE CHA MWENDO WA MTU,awe na mwendo wa spidi,wa kukimbia, wa polepole...ataeleza vizuri atakaokuwa kule rokapu"
Subirini maamuzi ya kamati kuu ya Chadema leo muone jinsi kidume Lowassa kitakavyopeta!
 
Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
10,966
2,000
Tukiongelea siasa za kiharakati, Lowasa yupo totally wrong lakini tukija kwenye Political science Lowasa has done the real great move.
Mtu anayeweza kutoa speech za kipuuzi na za hatari kwa nchi unapaswa kutafuta namna nzuri ya kum contain. Kwa wanao mpinga Lowasa watuambie move walizozifanya wao.
Lowasa namuelewa sana aina ya siasa azifanyazo, ninachopinga ni CHADEMA kumkaribisha Lowasa moja kwa moja na kumpa ugombea wa nafasi ya urais. Taasisi yeyote kubwa yenye wanachama, mizizi, mikakati, historia, watu makini, na uongozi thabiti isingeweza kufanya uhanithi wa aina ile.
 
shinyangakwetu

JF-Expert Member
Jun 25, 2015
1,710
2,000

Raisi Magufuli akimjibu Lowasa baada ya kushauri awapeleke mahakamani Mashekhe wa "Uamsho"

"Bahati mbaya wanaokufa ni wa chama kimoja tu fulani,unasimama hadharani unasema hawa watu waachiwe. Nataka polisi mfanye kazi yenu,Hawa wanaoropoka ropoka wakaisaidie polisi katka upelelezi.......Wasiogope cha sura.......WASIOGOPE CHA MWENDO WA MTU,awe na mwendo wa spidi,wa kukimbia, wa polepole...ataeleza vizuri atakaokuwa kule rokapu"
Kichaa
 
Charles Dotter

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
2,203
2,000
Lowassa is charismatic leader.

Charismatic leadership is leadership based on the leader's ability to communicate and behave in ways that reach followers on a basic, emotional way, to inspire and motivate. We often speak of some sports and political leaders as charismatic (or not) -- an example being John F. Kennedy.

It's difficult to identify the characteristics that make a leader "charismatic", but they certainly include the ability to communicate on a very powerful emotional level, and probably include some personality traits.

Developing "charisma" is difficult, if not impossible for many people, but luckily charismatic leadership is not essential to be an effective leader. Many other characteristics are involved in leading effectively, and there is significant evidence to indicate that it simply is not necessary to have this elusive charisma to lead others well.

Relying on charisma to lead also can be problematic. For example, there have been many charismatic leaders who lack other leadership characteristics and skills (e.g. integrity) and lead their followers into situations that turn out horribly -- think political leaders such as Stalin, Hitler, and even business leaders (Enron).

Finally, in organizations lead by charismatic leaders, there is a major problem regarding succession. What happens when a leader who relies on charisma leaves? Often the organization founders because the ability to lead rested with one person's charisma
 
Jozi 1

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
6,204
2,000

Raisi Magufuli akimjibu Lowasa baada ya kushauri awapeleke mahakamani Mashekhe wa "Uamsho"

"Bahati mbaya wanaokufa ni wa chama kimoja tu fulani,unasimama hadharani unasema hawa watu waachiwe. Nataka polisi mfanye kazi yenu,Hawa wanaoropoka ropoka wakaisaidie polisi katka upelelezi.......Wasiogope cha sura.......WASIOGOPE CHA MWENDO WA MTU,awe na mwendo wa spidi,wa kukimbia, wa polepole...ataeleza vizuri atakaokuwa kule rokapu"
Waache wapatane.
IMG-20180110-WA0008.jpg
 
toroka uje mjini

JF-Expert Member
Mar 29, 2017
1,586
2,000
Tukiongelea siasa za kiharakati, Lowasa yupo totally wrong lakini tukija kwenye Political science Lowasa has done the real great move.
Mtu anayeweza kutoa speech za kipuuzi na za hatari kwa nchi unapaswa kutafuta namna nzuri ya kum contain. Kwa wanao mpinga Lowasa watuambie move walizozifanya wao.
Lowasa namuelewa sana aina ya siasa azifanyazo, ninachopinga ni CHADEMA kumkaribisha Lowasa moja kwa moja na kumpa ugombea wa nafasi ya urais. Taasisi yeyote kubwa yenye wanachama, mizizi, mikakati, historia, watu makini, na uongozi thabiti isingeweza kufanya uhanithi wa aina ile.
Mbona hatkuelewi kwa kiswahili lowasa kakosea kwa english lowasa done real great move..
Hawa ndio wanaokaa bar.
Wakilewa pombe ndio wanasoma
Walitakiwa wasome kwanza halaf ndio walewe
 
Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
10,966
2,000
Mbona hatkuelewi kwa kiswahili lowasa kakosea kwa english lowasa done real great move..
Hawa ndio wanaokaa bar.
Wakilewa pombe ndio wanasoma
Walitakiwa wasome kwanza halaf ndio walewe
Kwa akili zako na jinsi ulivyo ulitarajia kabisa kwamba utasoma comment yangu na kuielewa?? You cant be serious!!
 
Top Bottom