LOWASA, MKAPA walivyounguruma leo Arumeru mashariki

LOWASA, MKAPA walivyounguruma leo Arumeru mashariki

Maneno matupu hayavunji chawa,....naisubiri tarehe tu.
 
Maneno matupu hayavunji mfupa mkuu...inawezekana ukawa gamba soma post ya ARUMERU NA KOTI LENYE CHAWA..
 
Walisema hataongea, ooh mara akija azomewe! hatimaye mwanasiasa maharufu pengine kuliko wote kwasasa nchini mheshimiwa EDWARD LOWASA leo amehutubia maelfu ya wapiga kura huko ARUMERU! kwa mujibu wa mashuhuda wetu umati wa watu uliojitokeza haujawahi kutokea katika historia ya eneo hilo! pamoja na CDM kumchafua sana LOWASA leo ameshangiliwa sana na wananchi kuwa watulivu kumsikiliza na kupiga makofi ya pongezi pale alipogusia hoja za msingi na alimnadi mgombea wa CCM mh SIOI SUMARI, kuwaambia wananchi wampe kura SIOI na yeye atakuwa ataongozana nae hadi kwa waziri wa ARDHI kumaliza matatizo ya ardhi Arumeru! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI! HONGERA MH LOWASA KWA KUWAONYESHA KUWA UKO FIT KUPAMBANA

Hapo kwenye red kumbe ni another hearsay? Nilidhani ulikuwepo?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mmmmm!! sidhani kama ameunguruma Mbona vipicha vinaonekana kuzome rangi ya Kijani!!!! nadhani ameumbuliwa kwa vipicha hivi Mkuu imekula kwake
 


mtoto.jpg
 
Last edited by a moderator:
ungekuwepo maeneo ya kikatiti leo usingesema uyasemayo. El kautubia watu kiduchu wakiwepo waliotoka monduli kama ilivyo ada kwa ccm kubeba watu kutoka sehemu mbalimbali ili kujaza mikutano yao.
Baada ya kampeni alizomewa vibaya na wananchi wa kikatiti, askari ndo waliomwokoa kwani ilibidi waingilie kati na msafara ukarudi usa river.



Chini ni baadhi tu ya picha za zomeazomea hizo
View attachment 50546
View attachment 50549
View attachment 50550
View attachment 50551

msafara wa el wakitoka kikatiti kabla ya zomeazomea
View attachment 50552

watoto wakuandamana kuunga mkono zomeazomea hizo
View attachment 50554

picha ulizoweka za barabarani wakati lowassa anatoka upande wa pili ni ofisi ya chadema ebu kuwa wazi mbona mmeshindwa kuanza mkutano wenu pale sokoni saa nane ?
 
Vp jamaa ameshindwa kumnadi mkwe awe vizuri?
 
Kijana unapotosha watu hivihivi hapo sio patandi, patandi kulikuwa na umati umati mkubwa saana,afu mnafanya usanii kwenye picha za ccm mnachukua picha sehemu za pembezoni au sehemu zamwisho mwisho kwenye msafara kuonyesha eti watu wachache! mbona hampigi picha mwanzo wa msafara au kupiga picha kutokea kwenye jukwaa kuu kuonyesha umati wa watu ulioudhuria! endeeleeni kuwajaza uwongo wanachama wenu
ccm kwishney
 
Lowasa kachoka jamani tuwe wakwrli sauti kwishneKwishney Lowasa
 
Lowasa amemnadi SIOI kwa kusema atamaliza matatizo ya maji na ardhi.

Mkapa amewaponda wapinzani kuwa hawana lolote na hawataleta maendeleo

yoyote Arumeru.

SOURCE: ITV habari


My take: ushindi kwa CCM uko wazi aiseeeeee!
 
Kijana unapotosha watu hivihivi hapo sio patandi, patandi kulikuwa na umati umati mkubwa saana,afu mnafanya usanii kwenye picha za ccm mnachukua picha sehemu za pembezoni au sehemu zamwisho mwisho kwenye msafara kuonyesha eti watu wachache! mbona hampigi picha mwanzo wa msafara au kupiga picha kutokea kwenye jukwaa kuu kuonyesha umati wa watu ulioudhuria! endeeleeni kuwajaza uwongo wanachama wenu
Ni kweli hapo siyo patandi ila ni kikatiti ambako mkutano ulimalizika saa nane na Lowasa pamoja na makanda wengine walizomewa sana Mpaka green guard wakashuka kwenye magari polisi wakaingilia kati, polisi ikabidi wakae kati upande CCM na uapnde mwingine CHADEMA.......
 
Back
Top Bottom