Leo Kikatiti ilikuwa nusu funga, funga kazi kamili ni kesho Usa River na Tengeru

Na nyinyi bara ndiyo mumeanza kuamka kulinda kura eeeeeh?

Ama kweli alalaye usimwamshe ukimwamsha utalala wewe.
 
haujamsikia Lowasa....
hapo vipiiiiiiiiiiiii?????????????
hapo sawaaaaaaaaaaaa????????????
ndiyo siasa zilizoba CCM, hakuna jipya,
kweli, kuchagua ccm hadi uwe na kichwa cha panzi.......
nimemsikia na hapo vipiiii siakapumzike anaangaika nini,
 
Asante Makene tuko pamoja

attachment.php
 
ushindi kwa makamanda io ipo waz,MUNGU IBARIKI CHADEMA,MUNGU IBARIKI ARUMERU,AMEN
 
Wajaribu na huo mtutu waone, nimetokea ngome sasa hivi pale Elephant, watu wako tayari kwa lolote chochote.
Kina mama na vijana wametoka Kikatiti kwa mguu mpaka Ngome (Leganga), wameulizwa mbona mmetembea umbali mrefu hivo kuja hapa wakajibu tumekuja tunataka tuambiwe mkakati wa kulinda kura.
Sasa narudi zangu town barabarani ni jam ya ajabu magari na bendera mengine yakirudi town na mengine yakija ngome kukesha mpaka hiyo funga funga kesho na matokeo pale kwa mkuu wa wilaya jumapi Mkuu kampeni za kesho zinaanza saa ngap..?
 
mkuu naomba utujuze muda wa kuanza mikutano yote hyo miwili ili tukawakilishe...peopleeeeeez...powerrrrrr..!!!


Ngomeni Dr.Slaa ametangaza watu wote tuwepo ngomeni asubuhi mapema ili tuoindokee pale kupiga Leganga halafu Patandi.
Fanya Hivi fika Leganga Before saa nne asubuhi nenda pale Elephant Bar ndipo ilipo ngome tutaondokea hapa.
Na tokea ausubuhi hiyo barabara nzima itajaa Wanachama wakisubiri kukusanyiika Patandi Tengeru. Tunaanza Leganga then funga ni Patandi haalafu tunarudi ngome, kama una blanket beba tukeshe.

Tatizo ni exact time sababu ya wingi wa watu.
Dr Kasema tuwe pale ngome asubuhi.
 
Hata kwa kutazama na kusikia, mkutano wa CCM waliokuwa wanaitikia ni wale wa jukwaani tu.....hapo-poa, hapo-poa.....
Ebwanae...Pippoooozzz......uwanja mzima mikono ikiwa hewani..POWEEEEEEEEEEER!
 
Naona dalili za ushindi zinakaribia kwa mbali.

Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee????????????????????


Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeee.

Oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom