kookolikoo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 2,800
- 694
Lowasa amemnadi SIOI kwa kusema atamaliza matatizo ya maji na ardhi.
Mkapa amewaponda wapinzani kuwa hawana lolote na hawataleta maendeleo
yoyote Arumeru.
SOURCE: ITV habari
ulitregemea nini?
Lowasa amemnadi SIOI kwa kusema atamaliza matatizo ya maji na ardhi.
Mkapa amewaponda wapinzani kuwa hawana lolote na hawataleta maendeleo
yoyote Arumeru.
SOURCE: ITV habari
Hakika kafunika hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaahahaha....tulipokuwa tuna sema tulikuwa tunabezwa...............Nahapo hawajaonyesha zomezomea baada ya kampeni
[h=6]Walisema hataongea, ooh mara akija azomewe! hatimaye mwanasiasa maharufu pengine kuliko wote kwasasa nchini mheshimiwa EDWARD LOWASA leo amehutubia maelfu ya wapiga kura huko ARUMERU! kwa mujibu wa mashuhuda wetu umati wa watu uliojitokeza haujawahi kutokea katika historia ya eneo hilo! pamoja na CDM kumchafua sana LOWASA leo ameshangiliwa sana na wananchi kuwa watulivu kumsikiliza na kupiga makofi ya pongezi pale alipogusia hoja za msingi na alimnadi mgombea wa CCM mh SIOI SUMARI, kuwaambia wananchi wampe kura SIOI na yeye atakuwa ataongozana nae hadi kwa waziri wa ARDHI kumaliza matatizo ya ardhi Arumeru! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI! HONGERA MH LOWASA KWA KUWAONYESHA KUWA UKO FIT KUPAMBANA[/h]
Walisema hataongea, ooh mara akija azomewe! hatimaye mwanasiasa maharufu pengine kuliko wote kwasasa nchini mheshimiwa EDWARD LOWASA leo amehutubia maelfu ya wapiga kura huko ARUMERU! kwa mujibu wa mashuhuda wetu umati wa watu uliojitokeza haujawahi kutokea katika historia ya eneo hilo! pamoja na CDM kumchafua sana LOWASA leo ameshangiliwa sana na wananchi kuwa watulivu kumsikiliza na kupiga makofi ya pongezi pale alipogusia hoja za msingi na alimnadi mgombea wa CCM mh SIOI SUMARI, kuwaambia wananchi wampe kura SIOI na yeye atakuwa ataongozana nae hadi kwa waziri wa ARDHI kumaliza matatizo ya ardhi Arumeru! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI! HONGERA MH LOWASA KWA KUWAONYESHA KUWA UKO FIT KUPAMBANA