Lowasa kusomewa mashtaka mapya Zanzibar

Lowasa kusomewa mashtaka mapya Zanzibar

Kinana huyu ndio achonge mashtaka kwa Lowasa? Huyu Kinana ambaye yuko uchi kariakoo kwa ufisadi?
 
Hizi propaganda za kumpaisha zaidi Lowasa.
 
Afukuzwe kwa kosa gani kama ni kutangaza nia mbona wapo wengi waliotangaza nia akiwemo waziri mkuu?

Endapo watamfukuza watakuwa wanamuonea.

PIGA KURA YA HAPANA KWA KATIBA PENDEKEZWA
 
hili jukwaa tamu sana.
1. akiwa anazungumziwa ZZK utaona wanaccm wanavyomtetea kwa nguvu zote.
2. akiwa anazungumziwa EL utaona wanaukawa wanavotunisha misuli kumtetea.

duh sielewi elewi vile!!

UKAWA wanataka EL awe mgombea wa ccm ili kuwarahisishia kazi ya kui delete ccm.
Hali kadhalika ccm wanampenda ZZK aendelee kuibomoa cdm. "Adui muombee njaa".
 
Hakuna mwana-CCM yeyote yule mwenye guts za kumfukuza au kutoa hoja ya kumfukuza Lowassa.
 
Hizi propaganda za kumpaisha zaidi Lowasa.
Mkuu Katavi Zanzibar kuna harufu ya damu! Lolote laweza tokea na kubadili kabisa siasa za CCM. Kama si kikao hiki basi hakutakuwa na kingine chenye uwezo wa kufanya lolote dhidi ya Laigwanan. Watu matumbo moto. Plan B inafanyiwa kazi
 
Last edited by a moderator:
Kwa CCM Lowasa ni kama Jini. Wakimuacha WAMEMUOGOPA wakimfukuza WAMEMUONEA ni Drama tu CCM
 
hili jukwaa tamu sana.
1. akiwa anazungumziwa ZZK utaona wanaccm wanavyomtetea kwa nguvu zote.
2. akiwa anazungumziwa EL utaona wanaukawa wanavotunisha misuli kumtetea.

duh sielewi elewi vile!!

Utaelewa tu taratibu.
 
Afukuzwe tu kwani ana faida gani? Cha kushangaza wanaokuwa na hofu ni Kibanda na Kubenea ambao walikuwa wanufaika wa fedha za Fisadi Lowasa

👌 Ur such a fool...arrogant...hypocrite...nyang'au mkubwa....

👌☝ Our HOPE, FAITH and TRUST inside & outside CCM by the time being IS ONLY EDWARD LOWASSA...

💀👽 There is no other person...KWA KILA KITU WA KUMLINGANISHA NA LOWASSA...

Ww ni mazafanta tu...hujui hata kuoga...unatumika like toilet paper and dumped..!!!

💪👍 We know with no reasonable doughts...LOWASSA CAN MAKE THE JOB DONE....!!!

NA TUTAPIGA KAMPENI ZA KUFA MTU HUJAWAHI ONA WW KIMA...FREELY..with highest spirits ...bure tutapiga kampeni bila kujali chama wala nn...URAIS NI LOWASSA TU...With only one biggest reason....YEYE NI MUSA WA SASA..NA ATATUVUSHA MTO...CCM VIONGOZI WENGINE WOTE UKITOA MWIGULU NA KINANA KIDOGO NI FUNCTIONLESS....

We don't do mistakes again....!!!

Lowassa ni mtu wa kutuvusha...tutapambana hadi LAST DROP ON EARTH...na USHINDI HAUPINGIKI...!!

KAMA HUAMINI SUBIRIA KAMPENI ZIANZE...it will be a game changer...wala ww kifisi hautasikika...!!

We will make it ANOTHER WAY ROUND...unbelievable 2 u and others ....!!!
 
Umenena vizuri sana sana Mkuu.......huyo Chabruma bado ana laana ya kumpiga mzee Warioba
 
Nimeshindwa kuweka link mwenye kuweza aende kwenye Twitter ya absolam kibanda kuna hii habari,vilevile kubenea kafichua njama za kumfukuza uanachana Lowasa.

FISADI mkubwa, hatumuonei huruma wala nini, kwanza tulitegemea kafilisiwa na anyea debe...
 
Hakuna wa kumfukuza Lowasa ccm jamani hizi habari za maji taka.Lowasa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania 2015 november anaapishwa
 
Tuone kama atafukuzwa ili maadui wake wote mnenepe. Hana njaa, hana shida, wala usifikiri urais anautaka kwa ajili ya njaa. Hiyo ya urais inaitwa "self actualization by abraham mas-law"
 
Mimi nashangaa sana kila siku Lowasa utadhani kuna jambo zuri kalifanyia taifa letu.Namfahamu Lowassa kama kiongozi wa kundi la mtandao,kama mpiga deal la RICHMOND,kama waziri mkuu mwenye kufanya kazi kwa kutumia vyombo vya habari,kama mwanasiasa mwenye uchu wa madaraka wakati hana uwezo wa uongozi.......

Laiti Tanzania ingefuata sheria za China leo angeshasahaulika siku nyingi.
 
Afukuzwe kwa kosa gani kama ni kutangaza nia mbona wapo wengi waliotangaza nia akiwemo waziri mkuu?

Endapo watamfukuza watakuwa wanamuonea.

PIGA KURA YA HAPANA KWA KATIBA PENDEKEZWA

sawa mkuu hapo umenena big up kwenye katiba naunga mkono
 
Zengwe kumbe limeanzia kwenye Kamati ya maadili huko ndo wabaya wa Lowassa walipo kwakuwa mashitaka ilibidi yaje ya wale wote waliotuhumiwa ila hadi sasa hakuna aliyeshitakiwa zaidi ya Lowassa!
 
Back
Top Bottom