asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
mashtaka gani ?? lini alisomewa mashtaka ya zamani zanzibar na hayo mapya ni ya lini tena?
Hicho hapo alichoandika.
mashtaka gani ?? lini alisomewa mashtaka ya zamani zanzibar na hayo mapya ni ya lini tena?
Zikaneni wenyewe. Sisi tunajua rais ajaye ni Dr. Slaa.
Zikaneni wenyewe. Sisi tunajua rais ajaye ni Dr. Slaa.
Chabruma umesahau boss wako Membe alivyomtesa kibanda kisa urais leo unasema ni kibaraka wa Lowassa? Membe anamchukia sana kibanda ameshindwa tu kumuua.
Afukuzwe tu kwani ana faida gani? Cha kushangaza wanaokuwa na hofu ni Kibanda na Kubenea ambao walikuwa wanufaika wa fedha za Fisadi Lowasa
Wewe unanufaika na za wa-commoro ndo maana unam-diss. Na huyu Mende wako hapati kitu nyambafu.
Mbona ukisikia jina la EL unaweweseka sana? We si ndie uliyesema akifukuzwa atapata umaarufu? Mbona umebadili tena msimamo wako?
Mbona ni Lowasa anaongelewa sana kana kwamba ni yeye tu anaetaka urais ndani ya ccm na kuwa ni yeye pekee anayefanya kampeni! Kama ni kutumia fedha ni wengi tu tunawaona wanaofanya kampeni za chini chini na kutumia fedha. LAKINI ajabu ni Lowasa tu yuko kinywani mwa watu!
Nimeshindwa kuweka link mwenye kuweza aende kwenye Twitter ya absolam kibanda kuna hii habari,vilevile kubenea kafichua njama za kumfukuza uanachana Lowasa.
Na Ugomvi Wao Siyo SIASA Bali Ni Yule Demu Mhariri Mkuu Channel Ten Na Magic FM......Dinna Chahali! Mapenzi Ni Hatari.
Afukuzwe tu kwani ana faida gani? Cha kushangaza wanaokuwa na hofu ni Kibanda na Kubenea ambao walikuwa wanufaika wa fedha za Fisadi Lowasa