Lowasa kusomewa mashtaka mapya Zanzibar

Lowasa kusomewa mashtaka mapya Zanzibar

Afukuzwe tu kwani ana faida gani? Cha kushangaza wanaokuwa na hofu ni Kibanda na Kubenea ambao walikuwa wanufaika wa fedha za Fisadi Lowasa
Chabruma mie mambo ya huko kwenu hayanihusu ila nikuambie kuwa wewe hata kama unatumika na akina Six bado wewe na hao hamna ubavu kwa Lowassa kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Zawadi za krismas na mwaka mpya 2015 kwa wajumbe wa NEC na Mkutano Mkuu (CCM) - Tzs. 1,000,000/- kwa Tzs. 500,000/- kwa kila mmoja.

Tupe evidence mkuu hata mimi nikaandika tuhuma kama ishu ni kuandika tu
 
Back
Top Bottom