chizi1
Member
- Dec 16, 2011
- 77
- 23
Wezi na mafisadi wangapi DOWANS, EPA, RICHMOND,MEREMETA BUZWAGI etc, TZ wapo wanatesa mitaanai bila hatua yoyote, kwani negligence performance of duty sio kosa???? Gharama tuliyo ingia TZ ya umeme wewe unaona ni sawa, au na wewe pia unakula mikononi mwa mafisadi???
and he paid his price kwa heshima ya kuresign, sio kwamba alikua fisadi ndo akajiuzulu, bali alijiuzulu kwa heshima ya serikali na makosa yautendaji. gharama tuliingiza kwa ile kauli ya rais wako kusema wasubiri wasivunje mkataba, ambayo juzi ilisemwa kwenye vikao vya chama. gharama tuliingia kwa uoga wa kufanya maamuzi.. na huwezi kusema waliomualika hawamchi mungu, wengi tupo makanisani na misikitini, tunaomba aje tupate maendeleo.
huwezi leo ukamlaumu kwa makosa yote.