Lowasa amzidi JK maadhimisho ya maulid, ahudhuria jk akwepa

Wezi na mafisadi wangapi DOWANS, EPA, RICHMOND,MEREMETA BUZWAGI etc, TZ wapo wanatesa mitaanai bila hatua yoyote, kwani negligence performance of duty sio kosa???? Gharama tuliyo ingia TZ ya umeme wewe unaona ni sawa, au na wewe pia unakula mikononi mwa mafisadi???

and he paid his price kwa heshima ya kuresign, sio kwamba alikua fisadi ndo akajiuzulu, bali alijiuzulu kwa heshima ya serikali na makosa yautendaji. gharama tuliingiza kwa ile kauli ya rais wako kusema wasubiri wasivunje mkataba, ambayo juzi ilisemwa kwenye vikao vya chama. gharama tuliingia kwa uoga wa kufanya maamuzi.. na huwezi kusema waliomualika hawamchi mungu, wengi tupo makanisani na misikitini, tunaomba aje tupate maendeleo.

huwezi leo ukamlaumu kwa makosa yote.
 
Hooho nimekupata kumbe wewe ni mpiga debe wake, sasa jibu haya maswali hayo majumba au mahoteli aliyonunua London,Trafalgar Square, Leicester, katikati ya London fedha amepata wapi, kama si mikataba mibovu??????? Acct zilizoko Uswiss za USD na Pound kibao zimetoka wapi????? Sio mashirika yetu yaliyobinafishwa kwa bei za karanga???? Unafikiri ikiingia serikali makini madarakani haitahoji hizo dhuluma rushwa na wizi???

Lowassa ni chaguo la Mungu.Kama unabisha, pambana nae uone moto!

Naijulikane leo kati ya Mungu baal na Mungu Jehova ajulikanaye duniani wakati huu kwa jina la Yesu nani ana nguvu; niko hapa kusimamisha madhabahu ya Mungu ninaye mwamini mimi kama wa kweli ama wa uwongo basi itajulikana lakini hakuna miongoni mwa mafisadi atakuwa Rais wa Tanzania. Je mzabibu mwitu waweza zaa matunda mema? The power has changed hand niko hapa kuhakikisha Tanzania njema inazaliwa wheather mtu anataka ama hataki basi natupambane tuone mwenye uwezo na mamlaka ni nani? Hatuwezi chezewa kila mara na watu wale wale kila siku ndugu zetu wakiendelea kuteseka huku hao wanaokimbilia Ikulu watoto wao wakifaidi matunda ya nchi yetu.

Enough is enough and I am here standing with all the powers bestowed upon me to change the course! Kama Elija alisimamisha mvua basi na mm ambaye ni better than Elija ambaye hakuweza kuziona siku za wokovu nimekataa na mbingu pamoja na dunia nzima lazima iitii mamlaka niliyopewa katika ofisi ya unabii katika Jina kuu la Yesu kwamba hakuna 'fisadi' atakaye kanyaga Ikulu ya Tanzania. Uzuri ni kuwa silazimishwi kuamini ama kutoamini fulani ni fisadi ama si fisadi ila jinsi nionavyo mm moyoni mwangu nikishuhudiwa na dhamira yangu kama mtanzania ambaye amekuwepo kwa muda usiopungua miaka 30 Tanzania. Si hitaji msaada wowote wala hapa demokrasia si sehemu yake bali uwezo na nguvu wa kusababisha mambo kutokea na aliye na nguvu dhidi ya haya niliye ya tamka achukue mamlaka yake kinyume na haya ndipo sasa itajulikana kweli nani kati yangu na yeye ni mtumishi wa Mungu aliye hai bwana wa vita aliyepasua bahari ya Shamu kwa fimbo na kuzamisha majeshi na magari yote ya Pharaho. Nikatika jina la Yesu bwana na mwokozi wa maisha yangu na amini moyoni mwangu na kukiri kwa kinywa changu kuwa itakuwa hivi; AMINA!
 
Hooho nimekupata kumbe wewe ni mpiga debe wake, sasa jibu haya maswali hayo majumba au mahoteli aliyonunua London,Trafalgar Square, Leicester, katikati ya London fedha amepata wapi, kama si mikataba mibovu??????? Acct zilizoko Uswiss za USD na Pound kibao zimetoka wapi????? Sio mashirika yetu yaliyobinafishwa kwa bei za karanga???? Unafikiri ikiingia serikali makini madarakani haitahoji hizo dhuluma rushwa na wizi???

ndugu, sasa naona na wewe unafuata mkumbo? ndo juzi hapa nilikua kwenye taxi nikawa namwambia anipe tour ya arusha, kila ghorofa anaona sifa kusema ya lowassa, mpaka za nssf na bank anaona aseme ya lowassa. kufikiri na kujibu hoja kwa kile nachoona ukweli sio kuwa mpiga debe. nionyeshe hotel moja london? huko katikati ya london? ukinionyesha leo, kweli ntaamini na nitaanza kampeni rasmi kusema huyu mtu mwizi. nionyeshe account za uswiss.

iyo ndo agenda nape alianza nayo, akakosa vyote, leo hii amebaki kupiga kelele tu. ndo maana nasema tupime ukweli. mimi siamini upande wa wowote lakini namtetea nikiona kaonewa tu. mbaya zaidi, sasa ivi naona anang'ara sana kuliko viongozi wetu, ana nguvu sana. ni kipima kwa kazi zake ndo usiseme, bado serikali ya sasa ivi iko shadowed na utekelezaji wa huyo mzee. kubali tu ndugu
 
Huwa anaalikwa ama anajipeleka mwenyewe!!!!

3.jpg

8.jpg
 
Eti Lowasa kamzidi JK,Acheni mambo yasiyo na maana bana.Nani amekwambia Mr President anashindana na huyu Mwizi.
 
ndugu, sasa naona na wewe unafuata mkumbo? ndo juzi hapa nilikua kwenye taxi nikawa namwambia anipe tour ya arusha, kila ghorofa anaona sifa kusema ya lowassa, mpaka za nssf na bank anaona aseme ya lowassa. kufikiri na kujibu hoja kwa kile nachoona ukweli sio kuwa mpiga debe. nionyeshe hotel moja london? huko katikati ya london? ukinionyesha leo, kweli ntaamini na nitaanza kampeni rasmi kusema huyu mtu mwizi. nionyeshe account za uswiss.

iyo ndo agenda nape alianza nayo, akakosa vyote, leo hii amebaki kupiga kelele tu. ndo maana nasema tupime ukweli. mimi siamini upande wa wowote lakini namtetea nikiona kaonewa tu. mbaya zaidi, sasa ivi naona anang'ara sana kuliko viongozi wetu, ana nguvu sana. ni kipima kwa kazi zake ndo usiseme, bado serikali ya sasa ivi iko shadowed na utekelezaji wa huyo mzee. kubali tu ndugu

MBONA HABARI HIZI ZIPO HAPA SIKU NYINGI, SOMA HAPO JIRIDHISHE!!!!!
[h=2]Wednesday, March 16, 2011[/h] [h=3]MTOTO WA LOWASA ANACHUNGUZWA NCHI UINGEREZA [/h]
MTOTO wa Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa anayeitwa Frederick Lowassa anachunguzwa na Kitengo Maalumu cha Polisi wa Kimataifa wa Uingereza wanaofuatilia utata wa uhamishaji fedha kutoka Tanzania, Raia Mwema limedokezwa.

Fedha hizo zinahusishwa na ununuzi wa nyumba yenye thamani ya pauni za Uingereza 475,000 (takriban Shilingi bilioni moja) katikati ya Jiji la London, .

Nyumba ambayo inatajwa katika maelezo ya awali iko mtaa wa Leinster Gardens, jijini London.

Hata hivyo, hakuna ofisa yeyote wa Serikali ya Tanzania aliyekuwa tayari kuzungumzia suala hilo, pamoja na kuwapo taarifa kwamba tayari vyombo vya dola vya Tanzania vimekwisha kuhusishwa katika uchunguzi huo.

Maofisa wa Polisi wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (CID) wanaohusika na uchunguzi wa fedha haramu, wamekwepa kuzungumzia suala hilo na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Robert Manumba, hakuweza kupatikana, na alielezwa kuwa nje ya nchi kikazi.

Ofisa wa CID aliyeelezwa kuongoza kitengo kinachochunguza makosa ya uhalifu wa fedha na nyaraka, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), Samson Kasala, alikanusha kufahamu chochote kuhusiana na suala hilo, kabla ya kukata simu alipohojiwa na Raia Mwema kuhusu taarifa hizo.

Taarifa zinaeleza kwamba Kitengo cha Ufuatiliaji wa Fedha Haramu (Financial Intelligence Unit-FIU) kilichopo chini ya Wizara ya Fedha nchini, kilipokea taarifa kutoka Polisi wa Kimataifa wa London, Uingereza, wakitaka taarifa muhimu kuhusiana na Frederick, kabla ya kitengo hicho kuomba msaada wa polisi.

Hata hivyo, Kamishna wa FIU, Herman Kessy, hakuweza kupatikana wiki iliyopita akielezwa kuwapo nchini Afrika Kusini kikazi, lakini hata aliporejea wiki hii Raia Mwema ilikosa ushirikiano kutoka kitengo hicho Jumatatu wiki hii.

FIU imeanzishwa chini ya Sheria ya Udhibiti wa Fedha Haramu ya mwaka 2006 (Anti-Money Laundering Act-2006) kwa kuundiwa kanuni mwaka 2007, lakini hadi sasa kitengo hicho kimekuwa kikiendeshwa na maofisa watano tu, Kamishna Kessy, mchambuzi mmoja, mtaalamu wa mawasiliano na wasaidizi wawili wasio wataalamu, kitengo kilichopaswa kuendeshwa na watu wengi zaidi kutokana na unyeti wake.

Habari zinaeleza kwamba hata ofisa wa Polisi aliyewahi kuhamishiwa FIU kwa kazi maalumu alijikuta akitengwa na kutopangiwa kazi na maofisa hao ambao wengi wanatoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), baada ya kuwa ‘wameaminiwa’ sana na uongozi wa juu wa serikali.

Kwa mujibu wa taarifa hizo ambazo bado zinafanyiwa kazi, Frederick ambaye baba yake alijiuzulu Waziri Mkuu kwa kuhusishwa na kashfa ya ununuzi wa mitambo ya kuzalisha umeme iliyokabidhiwa kwa kampuni tata ya Richmond Development LLC, anadaiwa kufanya mawasiliano kupitia kampuni ya uwakala iliyotajwa kwa jina la ‘Mishcon’.

Nyaraka alizowasilisha, zilidai kuwapo ubia kati ya mtuhumiwa huyo na kampuni tatu ikiwamo Integrated Property Investment(T) Ltd na Barare Ltd Company.

Mkataba huo unaonyesha kuwa Frederick Lowassa ana hisa kwenye kampuni hizo, na kwamba fedha za ununuzi wa nyumba hizo zinatokana na fedha za malipo ya hisa anazopata kutokana na kampuni hizo.

Hata hivyo, mkataba huo unaonyesha kusainiwa Machi 25 mwaka 2009 siku moja baada ya Frederick Lowassa kusaini mkataba kati yake na kampuni ya Mishcon kama wakala wake katika ununuzi wa jengo hilo.

Pia aliwasilisha nyaraka zinazoihusisha kampuni ya Alphatel kama moja ya kampuni ambayo pia yeye ni mkurugenzi wake ambayo pia ni chanzo chake kingine cha fedha anazotumia kununua jengo hilo.

Taarifa zimedokeza kuwa ununuzi huo ulikwama baada ya kushindwa kutoa malipo hayo kwa mujibu wa mkataba kati yake na wakala wa ununuzi wa nyumba hiyo (kampuni ya Mishcon) ambao ulimtaka awe amekamilisha kulipa fedha hizo kabla ya Aprili 14, mwaka 2009.

Hata hivyo, siku chache baadaye ndani ya mwezi huo wa Aprili, Frederick aliipelekea Mishcon kiasi cha pauni za Uingereza 199,940 zikitokea kwenye kampuni ya ununuzi fedha ya Wall Street Exchange.

Aidha kiasi cha pauni 100,000 kiliingizwa kwenye akaunti ya kampuni hiyo hiyo ya Mishcon kwa fedha taslimu katika mikupuo 12 tofauti zikitokea kwenye matawi tofauti ya benki ya NatWest Bank plc iliyoko Kaskazini mwa Jiji la London.

Raia Mwema limeelezwa kuwa mazingira ya kuingizwa fedha hizo kwenye akaunti ya wakala huyo ( Mishcon) ndiyo yameifanya Taasisi ya SCD 6 Economics and Specialist Proceeds of Corruption Unit ya Uingereza inayosimamia uchunguzi wa sakata hilo kuwa na mashaka makubwa kuhusu uhalali wa fedha hizo.

Kutokana na mazingira hayo, SCD 6 Economic and Specialist Crime Proceeds of Corruption Unit yenye ofisi zake Victoria Block, New Scotland Yard, London, ililazimika kuwasiliana na FIU ikitaka maelezo ya awali kuwezesha kufanyika kwa uchunguzi kuhusu fedha hizo.

Raia Mwema iliwasiliana na Fred ambaye alikana kununua nyumba Uingereza lakini alikiri kuwahi kutuma fedha huko. Aliliambia Raia Mwema pia kwamba hajawahi kuhojiwa na yeyote kuhusu suala hilo, na pia kwamba hana taarifa kuwa polisi wa Uingereza wanampeleleza.

Hata hivyo kwa upande mwingine, gazeti hili limebaini kuwa, maelezo ya awali ambayo yalitakiwa kutoka Tanzania na makachero hao wa Uingereza, ni pamoja na kutaka kufahamu kama kweli Frederick Edward Lowassa amezaliwa Agosti 26, 1977, Mwanza Tanzania na anamiliki hati ya kusafiria yenye namba AB 109402 iliyotolewa Tanzania na kwamba anwani yake nchini Uingereza ni 71 Hendrix Drive, Milton Keynes, MK8 0DY.

Pia makachero hao waliitaka Serikali ya Tanzania kutoa ufafanuzi wakitaka kujua kama Frederick Lowassa ni mbia katika kampuni za Alphatel Partnership (Tanzania) Barare Ltd na Intergrated Tanzania Limited, kampuni ambazo zimefahamika kumilikiwa na familia ya Lowassa.

Asasi hiyo ya Uingereza pia imeomba kujua kama FIU wana taarifa zozote za uhalifu dhidi ya Frederick Lowassa na kama baba yake Edward Lowassa anachunguzwa kwa tuhuma yoyote ya rushwa na mamlaka za uchunguzi wa rushwa nchini Tanzania kuhusu fedha haramu.

Uchunguzi wa awali uliofanywa na vyombo vya dola, ulielezwa na taarifa hizo kwamba Frederick Lowassa si mbia katika kampuni hizo na kwamba Barare Ltd wenye hisa ni Edward Ngoyai Lowassa mwenye hisa 500 na Regina Mumba Lowassa mwenye hisa 500 huku wakurugenzi wakiwa ni hao hao.

Ofisa wa Uingereza anayesimamia uchunguzi huo, George Simpson, ameliambia Raia Mwema kupitia barua pepe kwamba kanuni za uchunguzi kuhusiana na kesi zenye mguso wa kisiasa huwazuia kukanusha au kuthibitisha kuhusu uchunguzi unaoendelea hadi pale wanapofikia hatua ya kukamata mtuhumiwa ama anapofikishwa mahakamani.

Hata hivyo, watu walio karibu na Frederick wameelezea kwamba kijana huyo hakuwahi kununua nyumba; bali aliwahi kutaka kupanga kwa ajili ya kuishi akiwa masomoni nchini Uingereza na fedha nyingine alizituma kwa ndugu yake aishie nchini humo.

SOURCE:RAIA MWEMA GAZETI

posted by lifeofmshaba lifeofmshaba at 15:39

Kwa jinsi hiyo Lowasa si kafiri lol!

Kafir ni mtu asiyechangia fedha za msikiti lkn ukichangia, wewe ni safi, tena sana. Hata kama fedha ulizochanga zimetokana na biashara ya kitimoto. Safi sana Lowasa, jichanganye nao uwapunguzie shida zao
 
MBONA HABARI HIZI ZIPO HAPA SIKU NYINGI, SOMA HAPO JIRIDHISHE!!!!!
Wednesday, March 16, 2011

MTOTO WA LOWASA ANACHUNGUZWA NCHI UINGEREZA

MTOTO wa Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa anayeitwa Frederick Lowassa anachunguzwa na Kitengo Maalumu cha Polisi wa Kimataifa wa Uingereza wanaofuatilia utata wa uhamishaji fedha kutoka Tanzania, Raia Mwema limedokezwa.

Fedha hizo zinahusishwa na ununuzi wa nyumba yenye thamani ya pauni za Uingereza 475,000 (takriban Shilingi bilioni moja) katikati ya Jiji la London, .

Nyumba ambayo inatajwa katika maelezo ya awali iko mtaa wa Leinster Gardens, jijini London.

Hata hivyo, hakuna ofisa yeyote wa Serikali ya Tanzania aliyekuwa tayari kuzungumzia suala hilo, pamoja na kuwapo taarifa kwamba tayari vyombo vya dola vya Tanzania vimekwisha kuhusishwa katika uchunguzi huo.

Maofisa wa Polisi wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (CID) wanaohusika na uchunguzi wa fedha haramu, wamekwepa kuzungumzia suala hilo na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Robert Manumba, hakuweza kupatikana, na alielezwa kuwa nje ya nchi kikazi.

Ofisa wa CID aliyeelezwa kuongoza kitengo kinachochunguza makosa ya uhalifu wa fedha na nyaraka, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), Samson Kasala, alikanusha kufahamu chochote kuhusiana na suala hilo, kabla ya kukata simu alipohojiwa na Raia Mwema kuhusu taarifa hizo.

Taarifa zinaeleza kwamba Kitengo cha Ufuatiliaji wa Fedha Haramu (Financial Intelligence Unit-FIU) kilichopo chini ya Wizara ya Fedha nchini, kilipokea taarifa kutoka Polisi wa Kimataifa wa London, Uingereza, wakitaka taarifa muhimu kuhusiana na Frederick, kabla ya kitengo hicho kuomba msaada wa polisi.

Hata hivyo, Kamishna wa FIU, Herman Kessy, hakuweza kupatikana wiki iliyopita akielezwa kuwapo nchini Afrika Kusini kikazi, lakini hata aliporejea wiki hii Raia Mwema ilikosa ushirikiano kutoka kitengo hicho Jumatatu wiki hii.

FIU imeanzishwa chini ya Sheria ya Udhibiti wa Fedha Haramu ya mwaka 2006 (Anti-Money Laundering Act-2006) kwa kuundiwa kanuni mwaka 2007, lakini hadi sasa kitengo hicho kimekuwa kikiendeshwa na maofisa watano tu, Kamishna Kessy, mchambuzi mmoja, mtaalamu wa mawasiliano na wasaidizi wawili wasio wataalamu, kitengo kilichopaswa kuendeshwa na watu wengi zaidi kutokana na unyeti wake.

Habari zinaeleza kwamba hata ofisa wa Polisi aliyewahi kuhamishiwa FIU kwa kazi maalumu alijikuta akitengwa na kutopangiwa kazi na maofisa hao ambao wengi wanatoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), baada ya kuwa ‘wameaminiwa' sana na uongozi wa juu wa serikali.

Kwa mujibu wa taarifa hizo ambazo bado zinafanyiwa kazi, Frederick ambaye baba yake alijiuzulu Waziri Mkuu kwa kuhusishwa na kashfa ya ununuzi wa mitambo ya kuzalisha umeme iliyokabidhiwa kwa kampuni tata ya Richmond Development LLC, anadaiwa kufanya mawasiliano kupitia kampuni ya uwakala iliyotajwa kwa jina la ‘Mishcon'.

Nyaraka alizowasilisha, zilidai kuwapo ubia kati ya mtuhumiwa huyo na kampuni tatu ikiwamo Integrated Property Investment(T) Ltd na Barare Ltd Company.

Mkataba huo unaonyesha kuwa Frederick Lowassa ana hisa kwenye kampuni hizo, na kwamba fedha za ununuzi wa nyumba hizo zinatokana na fedha za malipo ya hisa anazopata kutokana na kampuni hizo.

Hata hivyo, mkataba huo unaonyesha kusainiwa Machi 25 mwaka 2009 siku moja baada ya Frederick Lowassa kusaini mkataba kati yake na kampuni ya Mishcon kama wakala wake katika ununuzi wa jengo hilo.

Pia aliwasilisha nyaraka zinazoihusisha kampuni ya Alphatel kama moja ya kampuni ambayo pia yeye ni mkurugenzi wake ambayo pia ni chanzo chake kingine cha fedha anazotumia kununua jengo hilo.

Taarifa zimedokeza kuwa ununuzi huo ulikwama baada ya kushindwa kutoa malipo hayo kwa mujibu wa mkataba kati yake na wakala wa ununuzi wa nyumba hiyo (kampuni ya Mishcon) ambao ulimtaka awe amekamilisha kulipa fedha hizo kabla ya Aprili 14, mwaka 2009.

Hata hivyo, siku chache baadaye ndani ya mwezi huo wa Aprili, Frederick aliipelekea Mishcon kiasi cha pauni za Uingereza 199,940 zikitokea kwenye kampuni ya ununuzi fedha ya Wall Street Exchange.

Aidha kiasi cha pauni 100,000 kiliingizwa kwenye akaunti ya kampuni hiyo hiyo ya Mishcon kwa fedha taslimu katika mikupuo 12 tofauti zikitokea kwenye matawi tofauti ya benki ya NatWest Bank plc iliyoko Kaskazini mwa Jiji la London.

Raia Mwema limeelezwa kuwa mazingira ya kuingizwa fedha hizo kwenye akaunti ya wakala huyo ( Mishcon) ndiyo yameifanya Taasisi ya SCD 6 Economics and Specialist Proceeds of Corruption Unit ya Uingereza inayosimamia uchunguzi wa sakata hilo kuwa na mashaka makubwa kuhusu uhalali wa fedha hizo.

Kutokana na mazingira hayo, SCD 6 Economic and Specialist Crime Proceeds of Corruption Unit yenye ofisi zake Victoria Block, New Scotland Yard, London, ililazimika kuwasiliana na FIU ikitaka maelezo ya awali kuwezesha kufanyika kwa uchunguzi kuhusu fedha hizo.

Raia Mwema iliwasiliana na Fred ambaye alikana kununua nyumba Uingereza lakini alikiri kuwahi kutuma fedha huko. Aliliambia Raia Mwema pia kwamba hajawahi kuhojiwa na yeyote kuhusu suala hilo, na pia kwamba hana taarifa kuwa polisi wa Uingereza wanampeleleza.

Hata hivyo kwa upande mwingine, gazeti hili limebaini kuwa, maelezo ya awali ambayo yalitakiwa kutoka Tanzania na makachero hao wa Uingereza, ni pamoja na kutaka kufahamu kama kweli Frederick Edward Lowassa amezaliwa Agosti 26, 1977, Mwanza Tanzania na anamiliki hati ya kusafiria yenye namba AB 109402 iliyotolewa Tanzania na kwamba anwani yake nchini Uingereza ni 71 Hendrix Drive, Milton Keynes, MK8 0DY.

Pia makachero hao waliitaka Serikali ya Tanzania kutoa ufafanuzi wakitaka kujua kama Frederick Lowassa ni mbia katika kampuni za Alphatel Partnership (Tanzania) Barare Ltd na Intergrated Tanzania Limited, kampuni ambazo zimefahamika kumilikiwa na familia ya Lowassa.

Asasi hiyo ya Uingereza pia imeomba kujua kama FIU wana taarifa zozote za uhalifu dhidi ya Frederick Lowassa na kama baba yake Edward Lowassa anachunguzwa kwa tuhuma yoyote ya rushwa na mamlaka za uchunguzi wa rushwa nchini Tanzania kuhusu fedha haramu.

Uchunguzi wa awali uliofanywa na vyombo vya dola, ulielezwa na taarifa hizo kwamba Frederick Lowassa si mbia katika kampuni hizo na kwamba Barare Ltd wenye hisa ni Edward Ngoyai Lowassa mwenye hisa 500 na Regina Mumba Lowassa mwenye hisa 500 huku wakurugenzi wakiwa ni hao hao.

Ofisa wa Uingereza anayesimamia uchunguzi huo, George Simpson, ameliambia Raia Mwema kupitia barua pepe kwamba kanuni za uchunguzi kuhusiana na kesi zenye mguso wa kisiasa huwazuia kukanusha au kuthibitisha kuhusu uchunguzi unaoendelea hadi pale wanapofikia hatua ya kukamata mtuhumiwa ama anapofikishwa mahakamani.

Hata hivyo, watu walio karibu na Frederick wameelezea kwamba kijana huyo hakuwahi kununua nyumba; bali aliwahi kutaka kupanga kwa ajili ya kuishi akiwa masomoni nchini Uingereza na fedha nyingine alizituma kwa ndugu yake aishie nchini humo.

SOURCE:RAIA MWEMA GAZETI

posted by lifeofmshaba lifeofmshaba at 15:39

ndo maana nasema unarukia mkumbo, ungekua una analyse story. izo process hufanyika na yeyote hata serikali ya tanzania ikitaka kitu uingereza. nadhani huyo fred aliongea akasema kuwa ni kweli alifanya transfer lakini ya biashara zake, hakununua kitu. na iyo ruhusa nadhani anayo kama sisi watanzania wengine.na iyo story mwisho imesema sababu zake..sidhani kama unaweza kumuhusisha mtu na biashara zake.

swali hujajibu ndugu, izo mali za london ziko wapi za mhe.lowassa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom