Lowasa amzidi JK maadhimisho ya maulid, ahudhuria jk akwepa

this is disgusting! nimeona picha kule michuzi blog nikashangaa sana....hata hafananii kabisa kuwepo kwenye mkusanyiko ule..wenzie wamevaa white yeye kapigilia black kama msibani...by the way aliitwa? hii pia ni dharau ya imani ....kampeni yake inakwenda kasi sana.
inasemekana ana booking ya muda mrefu sana ya kuchangia ujenzi wa makanisa kote nchini. hizo pesa alizichuma lini na wapi kwa njia gani? viongozi wa dini hizi kwa nini hawaoni kuwa ni machukizo kumkaribisha mtu kama huyu kwenye sehemu za ibada akiwa na lengo la kisiasa na sio kuabudu? katika ukiristo inasemwa wazi kuwa sadaka ya muovu ni chukizo(The sacrifice of the wicked is an abomination to the LORD, But the prayer of the upright is His delight. Proverbs 15:8 ).....makanisa na misikiti inayojengwa kwa pesa chafu au pesa zenye hila ya kisiasa ni chukizo na hakika wanaomualika wanatenda dhambi
 
2+(1).jpg

Kama anakwenda kwenye shughuli za waislam ambao anataka kura zao halafu anashindwa kuvaa vazi kama kanzu hivi huyu kweli anania nzuri na waislam?

Kwa nini avae kihuni kwenye shughuli nzito kama hii?

sasa tazama mwenzie Freema, ikifika ijumaa anavaa hivi:

pp34.jpg
 
sI UNAJUA HUYO NI ADUI MKUBWA WA WAISLAM TZ? KITENDO CHA KUFUNGA MKATABA WA MOU NA MAKANISA NDICHO WAISLAM WNAACHOMPIGIA AKINYANYUA TU KIDOLE CHA KUTAKA URAIS. MAANA JAMAA NI MDINI NDIO MAANA KAONA AKIVAA KANZU ATAINGIA NAJSI. HIO ROHO ALIONAYO LOWASA KWA WAISLAM WATZ. WAISLAM WATZ WASHAJUA WANAMWACHA TU ASAGE KWENYE MABUSATI YA MISKITI.
CCM IKIJIPENDEKEZA KUMPA KIJITI CHA KUMPOKEA KIKWETE BASI WAJUE CHAMA CHAO KITAKUWA KUMBUKUMBU TU
 
sI UNAJUA HUYO NI ADUI MKUBWA WA WAISLAM TZ? KITENDO CHA KUFUNGA MKATABA WA MOU NA MAKANISA NDICHO WAISLAM TUTACHOMPIGIA AKINYANYUA TU KIDOLE CHA KUTAKA URAIS. MAANA JAMAA NI MDINI NDIO MAANA KAONA AKIVAA KANZU ATAINGIA NAJSI. HIO ROHO ALIONAYO LOWASA KWA WAISLAM WATZ
mimi naona huyu Sheikh Freeman bin Mbowe pamoja na uhuni wake nadhani atatufaa zaidi kuliko huyu Edward "MoU" Lowassa

Mtu unaweza kufikiria kuwa Lowassa kajifunza kitu kumbe hana lolote bado anawendelea kuwadharau waislam

ushahidi huu hapa:

cover.jpg

saba.jpg
 
2+(1).jpg

Kama anakwenda kwenye shughuli za waislam ambao anataka kura zao halafu anashindwa kuvaa vazi kama kanzu hivi huyu kweli anania nzuri na waislam?

Kwa nini avae kihuni kwenye shughuli nzito kama hii?

sasa tazama mwenzie Freema, ikifika ijumaa anavaa hivi:

pp34.jpg

Huo ni mtazamo wako, fikra zako za kiakili na imani yako, siafikiani na wewe katika hili kwa sababu moja kwa moja ni dhambi kumuhukumu mtu, hukumu anatoka Mungu peke yake.
 
ameanza harambee na huko, sie huku ametuchosha ametuma ujumbe kanisani kwetu eti kama tuna harambee tumjulishe.
 
Wewe nani kakwambia mavazi ndo dini kwani waislam wangapi hawana kanzu wala kofia.Naisitoshe nguo aliyovaa ni ya heshima sio kama ulivyosema.Angalizo ogopa mtu anayevaa kama mwislamu wakati sio
 
Lowasa ni mdini tu. Moyoni mwake umejaa udini mtupu. Kama kafunga mkataba na kanisa atashindwa kuwapoteza masheikh na kufungia redio zote wanaopinga mfumo kristo nchini?
 
wewe nani kakwambia mavazi ndo dini kwani waislam wangapi hawana kanzu wala kofia.naisitoshe nguo aliyovaa ni ya heshima sio kama ulivyosema.angalizo ogopa mtu anayevaa kama mwislamu wakati sio

juu ya utetezi wako. Lkn bado lowasa ni mdini. Kukataa kuvaa kanzu mungu kamuumbua. Kavaa suti nyeusi kumaanisha yupo msibani hasa ya yeye kufunga mktaba na makanisa hapa nchini
 
Mbowe yupo DC, vipi mzee Ndesamburo hakuhudhuria maulid ya kilimanjaro? Na vipi Padre Slaa hakuhudhuria yale ya maisara Znz? Tunajua yupo Uzini Znz

Kuelekea 2015 mtaona mengi sana.
 
Lowassa anauwezo wa kuwanunulia wale mashekhe ubwabwa wali, shida iko wapi?
 
pesa zote za Richmond kashindwa kununua kanzu na kofia?

sasa naanza kumkubali Shiekh Freeman bin Mbowe

wed.jpg
 
2+(1).jpg

Kama anakwenda kwenye shughuli za waislam ambao anataka kura zao halafu anashindwa kuvaa vazi kama kanzu hivi huyu kweli anania nzuri na waislam?

Kwa nini avae kihuni kwenye shughuli nzito kama hii?

sasa tazama mwenzie Freema, ikifika ijumaa anavaa hivi:

pp34.jpg

Mchochezi mkubwa wewe, kwani imani ni kanzu au inatoka moyoni. Kama umezoea uchochezi peleka kwenye ukoo wenu nyumbu wewe.
 
umenawa, labda maaskofu walevi wanaonyannganyia vipapatiro vya kuku.maana mdini lowasa ni hatari sana ktk mustkabli wa taifa letu

Hizi ni akili za wale ndugu zangu wenye suruali fupi fupi na akili fupi! Vipi ile ID yako mingine imekula ban?

Madrasa al sul
 
Hizi ni akili za wale ndugu zangu wenye suruali fupi fupi na akili fupi! Vipi ile ID yako mingine imekula ban?

Madrasa al sul
hawa wafuasi wa Chadema ndio mod , si unajua chadema na waislam paka na Chui? ndio maana zitto hana raha CDM. Prof Safari karibu kukabidhiwa kanisa kuliongoza, usicheze na CDM
 
Acha ujinga. Kanzu na kibarakashia vinamhusu nini Lowassa??? Kwani kaja uchi?? Acheni propaganda zisizoenda shule.
 
mchochezi mkubwa wewe, kwani imani ni kanzu au inatoka moyoni. Kama umezoea uchochezi peleka kwenye ukoo wenu nyumbu wewe.

sio uchochezi. Lowasa ni mdini kupindukia, bora dk slaa hakuwahi kufunga mkataba wa kijinga kama huu wa lowasa. Nchi imekuwa na huduma mbovu za afya kwa mkataba huu.
 
Back
Top Bottom