Lowasa amzidi JK maadhimisho ya maulid, ahudhuria jk akwepa

mimi naona huyu Sheikh Freeman bin Mbowe pamoja na uhuni wake nadhani atatufaa zaidi kuliko huyu Edward "MoU" Lowassa

Mtu unaweza kufikiria kuwa Lowassa kajifunza kitu kumbe hana lolote bado anawendelea kuwadharau waislam

ushahidi huu hapa:

cover.jpg

saba.jpg

Kumbe mtu akivaa kanzu tu. Tayari anafaa kuwa rais.
 
Nani kasema kuwa hiyo ni saini ya Lowasa? amakweli watu wakikuchukia hata kama ukikohoa wanasema umejamba, Je hao viongozi ambao ni waumini wa kisilamu wote ni wazuri kihiiivyo. Si muungu mkono lowasa, lakini sasa imekuwa too much utafikiri yeye ndo amesababisha shida zote tulizo nazo, Niliwahi kusema before kuwa tumezoea kumlaumu kwa kila kitu, hata jua likiwa kali utasikia, hii yote ni Lowasa, mpaka sasa wengine hata wakijingata wakati wakila watadai Lowasa, this is ridiculous , Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

Tunapoingiza Udini katika politics hatutafika popote, tumkatae mtu kwa utendaji wake na si kwa dini yake, jinsi hali ilivyo lazima jihadi itatokea hapa tanzania.
lOWASA ATOKE HADHARANI AWAOMBE RADHI KWA KUFUNGA MKATABA WA MOU. MKATABA HUU NDIO UNAOFANYA WAKIRISTO KUWA NA VYUO VIKUU VINGI. KABLA YA MKATABA HUU WAKIRISTO WALIKUWA HAWANA HATA KACHUO KAMOJA. MKATABA HUOYA NDIO UNAOFANYA WAISLAM KUWAPIGIA WAKIRISTO MAGOTI KIELIMU NA KIAF
 
tatizo kubwa aliofanya lowasa ni makataba wa mou. Ndio maana hata walimu wakuu wa ndanda leo wanajeuri ya kukataa amri ya waziri kwa kuwa ni muislam

Waziri amri yake haiwezi kukataliwa kama anachokisimamia kipo kwa mujibu wa sheria na taratibu.
 
waziri amri yake haiwezi kukataliwa kama anachokisimamia kipo kwa mujibu wa sheria na taratibu.

warichomnd mbona wakiristo wenziwe wamemsulubu?lkn kwa kuwa mkataba wa mou ni wa kanisa ndio maana mwakwembe na six walikaa kimya bungeni
 
lOWASA ATOKE HADHARANI AWAOMBE RADHI KWA KUFUNGA MKATABA WA MOU. MKATABA HUU NDIO UNAOFANYA WAKIRISTO KUWA NA VYUO VIKUU VINGI. KABLA YA MKATABA HUU WAKIRISTO WALIKUWA HAWANA HATA KACHUO KAMOJA. MKATABA HUOYA NDIO UNAOFANYA WAISLAM KUWAPIGIA WAKIRISTO MAGOTI KIELIMU NA KIAF
Mwaka 1992 Lowasa alikuwa ni nani katika NCHI hii hadi asaini MoU hii? Wa kulaumiwa ni nani hasa, AHM aliyekuwa Rais wa JMT au hawa wadogo kabisa?
 
Lowasa amzidi jk katika maadhimisho ya sikuu ya maulid.ahudhuria mkesha jk akwepa!
clip_image001.jpg
clip_image001.jpg

Huyo ndiye Rais mtarajiwa ngoja sasa aanze kuangushwa na majini, huyu Bwn Lowasa anahangaika saana sijui huo Urais una faida gani kubwa!!!!!! Kupata nafasi ya kuplani kuiba zaidi au nini hasa, bado tuu hajatosheka na wizi??????????

this is disgusting! nimeona picha kule michuzi blog nikashangaa sana....hata hafananii kabisa kuwepo kwenye mkusanyiko ule..wenzie wamevaa white yeye kapigilia black kama msibani...by the way aliitwa? hii pia ni dharau ya imani ....kampeni yake inakwenda kasi sana.
inasemekana ana booking ya muda mrefu sana ya kuchangia ujenzi wa makanisa kote nchini. hizo pesa alizichuma lini na wapi kwa njia gani? viongozi wa dini hizi kwa nini hawaoni kuwa ni machukizo kumkaribisha mtu kama huyu kwenye sehemu za ibada akiwa na lengo la kisiasa na sio kuabudu? katika ukiristo inasemwa wazi kuwa sadaka ya muovu ni chukizo(The sacrifice of the wicked is an abomination to the LORD, But the prayer of the upright is His delight. Proverbs 15:8 ).....makanisa na misikiti inayojengwa kwa pesa chafu au pesa zenye hila ya kisiasa ni chukizo na hakika wanaomualika wanatenda dhambi
Kweli Mkuu wote wanaomwalika hawako makini na neno la Mungu labda na wao ni wafuasi wa adui wa Mungu aliye Hai!!!!
Kwa kiongozi yeyote aliye simama sawa sawa kwa imani ya kiroho mwenye kumcha Mungu aliye Hai hawezi kumkaribisha fisadi eti amtolee Mungu aliye hai, aje kunajisi madhabahu!!!!
Washirika wakitenda dhambi hasa ya dhuluma na wizi utawakemea au la, kanisa litageuka dangulo la wachuuzi kama Bwn Yesu alivyo sema????????
 
Enyi ndugu zangu jaribuni kutumia lugha nzuri kwani huu ni mtandao wa jamii nzima na jamii hii yetu kila mtu ana uhuru wa kuabudu bila ya kubughuziwa au kumbughuzi mwenzie nakuombeni sana ndugu zangu, narudia tena tutumie lugha fasaha na pia moderator naomba ulitazame hili kama lugha sii nzuri usiirushe kwa jamii hii yetu

ahsanteni !!!!

Mwenyenzi mungu ibariki tanzania
mwenyenzi mungu wabariki watanzania wote
amin
 
sisi tulimualika aje iringa kwenye sherehe za chama, akaomba radhi akisema alishamuahidi makamo wa rais kwenda, kwani alipata mualiko kutoka kwake personally..sidhani kama kila kitu ni siasa tu jamani, kuombwa kushiriki sehemu hizo nazo ni heshima. nakumbuka akiwa waziri mkuu tulishakaa nae na wenzangu kibao kipindi cha ramadhani, tukafturu nae, na alivaa kanzu.

mi nadhani anaogopwa sana, ndo maana kila anapogusa inakua threat.. mnataka alale ndani tu..
 
Kweli Mkuu wote wanaomwalika hawako makini na neno la Mungu labda na wao ni wafuasi wa adui wa Mungu aliye Hai!!!!
Kwa kiongozi yeyote aliye simama sawa sawa kwa imani ya kiroho mwenye kumcha Mungu aliye Hai hawezi kumkaribisha fisadi eti amtolee Mungu aliye hai, aje kunajisi madhabahu!!!!
Washirika wakitenda dhambi hasa ya dhuluma na wizi utawakemea au la, kanisa litageuka dangulo la wachuuzi kama Bwn Yesu alivyo sema????????

innocent until proven guilty. angekua fisadi, leo wangesha mfunga kweli kwa chuki walizonazo. na kemea hiyo kauli yako.
 
Mbowe yupo DC, vipi mzee Ndesamburo hakuhudhuria maulid ya kilimanjaro? Na vipi Padre Slaa hakuhudhuria yale ya maisara Znz? Tunajua yupo Uzini Znz

Kuelekea 2015 mtaona mengi sana.
Mkuu Barubaru vipi si utupe habari za Uzini Zbr kama unayo conection huko????
 
lOWASA ATOKE HADHARANI AWAOMBE RADHI KWA KUFUNGA MKATABA WA MOU. MKATABA HUU NDIO UNAOFANYA WAKIRISTO KUWA NA VYUO VIKUU VINGI. KABLA YA MKATABA HUU WAKIRISTO WALIKUWA HAWANA HATA KACHUO KAMOJA. MKATABA HUOYA NDIO UNAOFANYA WAISLAM KUWAPIGIA WAKIRISTO MAGOTI KIELIMU NA KIAF

huo huo mkataba ulibarikiwa na ali hassan mwinyi na sasa kikwete akaja kuubariki.. acha sound bana.. mbona huwasemi hao waislam wenzetu. na leo imekua too late, alieleza kikwete mara mbili mwaka jana, kutekeleza hilo ombi.
 
innocent until proven guilty. angekua fisadi, leo wangesha mfunga kweli kwa chuki walizonazo. na kemea hiyo kauli yako.
Wezi na mafisadi wangapi DOWANS, EPA, RICHMOND,MEREMETA BUZWAGI etc, TZ wapo wanatesa mitaanai bila hatua yoyote, kwani negligence performance of duty sio kosa???? Gharama tuliyo ingia TZ ya umeme wewe unaona ni sawa, au na wewe pia unakula mikononi mwa mafisadi???
 
Back
Top Bottom