FDR.Jr
JF-Expert Member
- Jun 17, 2008
- 1,359
- 353
Mkubwa Lunyungu Leo Umetushika Pabaya Na Kwakweli Sote Tunasubiri Hekima Yako. Niseme Tu Kuwa Tumesoma Mwana Halisi Jinsi Ra Alivyomzungumza Mkapa Kiasi Cha Kumfanya Muungwana Amuangalie Kwa Kile Kinachofasiriwa Na Mwanahalisi Ni Hasira Na Kutuhumiwa Kwa Matumizi Mabaya. Ninavyofahamu El Kamwe Hawezi Kum Praise Bwm Hadharani Tena Kwa Dhati Hivyo Ni Vema Hayo Utakayotuarifu Hapa Yabebe Uhalisi Wa Hoja Yako Na Kweli Zifanane Na El Kwa Haiba Yake Vinginevyo Jf Hapatakutosha Mkuu