Pasco anatafuta ugali wake kwa nguvu zote.Kwa kuitazama hii picha, utakubaliana na mimi jamaa ni still going strong!, kazi ya urais sio kubeba zege!, kitu kizito kabisa ambacho rais anapaswa kuwa na uwezo wa kukibeba ni microphone kama hapo!, tena only pale inapobidi!.
Nimeisha mshauri yule 'Salva' wa EL, jamaa akiingia ni vihotuba vifupi vifupi maximum 3 pages only na sio mijihutuba mirefu very boring kama ya JK!, tena sio kwenye mijikaratasi, EL akiingia anaingia na ECO Government na E-Government, kwa sera ya paperless!, mambo ni kwenye I pad air, na transparent teleprompters kama Obama!.
Merry X-Mass
Pasco
Alafu naye mhuni tu. Angalia shati hapo kifuani kaacha kifua wazi ka wahuni wa bongo fleva mh Tanganyika tuna safari ndefu ati huyu naye aje awe rais makubwaa
Mimi sijaona haja wala umuhimu wa sherehe hizi za KIKAFIRI kusherehekewa nchi ya Kiisilamu ya ZANZIBAR.
mpambanaji anasikia Joto
Sasa inadhihilika kwamba dini ni utapeli ambao ulitengenezwa enzi hizo na wazungu/waarabu ili waweze kumiliki lasilimali watu ona sasa kanisa linavyomthamini mtu mwenye pesa haramu,makanisa ya leo yanajitaid kukumbatia mtu et sababu ana hela nakumkabidhi dhabahu atambe atakavyo alafu ambae ni mchungaji kanywea kama kamwagiwa maji ya barid ni ujinga mnadharirisha makanisa yenu acheni ushamba na uvivu,iko cku mtakuwa mnasli na hawo wenye vijipesa haramu na ndio maana muamko wa watu kwenda kwenye nyumba za ibada zinashuka @cku
Umesahau mojaMpe Lowasa sifa zake kama inavyostahili kama ifuatavyo:
Mheshimiwa, Raisi mtarajiwa, Waziriri mkuu mtaafu, mbunge wa Monduli Edward Lowasa.
Umesahau moja
Mheshimiwa, Raisi mtarajiwa anaetegemewa sana!,
Waziri Mkuu Mstaafu mchapakazi,
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge, ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama!,
(Berinado, Othmano, Edisono, Erenesto, wako chini yake!)
Mbunge wa Monduli aliyepita bila kupingwa!
Mhe. Edward Ngoyayi Ole Lowasa
Pasco