Lowaasa Aiteka Zanzibar Xmass

Lowaasa Aiteka Zanzibar Xmass

Waliokataliwa na the late baba wa taifa ni janga tu piga ua.Sina imani hata kidogo nao pia nanyi watazania wenye upeo mdogo wa kudadavua mambo
 
sijui kwa nini jk anamuogopa lowassa
Hamuogopi, bali anaogopesha!. EL amejaaliwa kitu kinachoitwa karama ya kukubalika ambayo JK hana!.

Wakati wa enzi ya Boys II Men, mikoani wakisikia ni ziara ya JK, ni shangwe tuu miguu juu kwani akiisha tayarishiwa ile taarifa, na kupitishwa kule alikopangiwa, jioni ni kula kunywa siku imepita!.

EL akifanya ziara, haishii kwenye taarifa ya makaratasi, kama amepangiwa kufungua mradi kambi ya Makotupora, kwenye taarifa walisema Msalato vyomba vya madarasa vimekamilika, Ihumwa kisima cha maji kimekamilika na maji yanatoka!, katika ziara yake ya kuelekea Makotupora, kwa vile ndio nji hiyo hiyo, anatangaza kuanzia Msaloto kuona vyumba vya madarasa kisha kupitia Ihumwa kuona kisima ndipo auende Makotu!. Sasa ikatokea kumbe hakuna chumba cha darasa wala mradi wa maji!, kilikuwa kinawaka hapo kwa hapo mbele ya kadamnasi ya watu kwa kutaka maelezo, na kesho yake watu hawana kazi!. Hivyo watu walikuwa wakisikia EL anakuja, ni hakuna kulala!, JK akija ni sherehe tuu!.

Na ndio maana wana CCM wote wenye akili timamu wanaitakia mema nchi hii, mwaka 2015 wanamtaka EL, wasiomtaka ni wale CCM waendekeza matumbo!.

Merry X-Mass

Pasco
 
Subiri listi ya Stanbic bank.

Ile list si ndio wapo hadi kina riz1? Hio list hatutokuja kuiona kamwe.. Tutapigwa dana dana na sisis tutakaa kimya ka kawaida ya wa tz wote tulivyo
Prove me wrong!!!
 
Alafu naye mhuni tu. Angalia shati hapo kifuani kaacha kifua wazi ka wahuni wa bongo fleva mh Tanganyika tuna safari ndefu ati huyu naye aje awe rais makubwaa

Kwa kweli amevaa shati kihuni huni kama rapper.Mke wake Regina anatakiwa ahakikishe mumewe edo anakuwa smart anavaa vizuri...sasa uvaaji gani huo..hana personality!
 
Mh. Lowassa ahudhuria ibada ya Krismas Zanzibar leo

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar alipohudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi leo. Kulia ni Mchungaji wa Kanisa hilo, Philip Mvungi.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa na mkewe Mama Regina Lowassa wakiwa na mjukuu wao, Angelica Freddy wakisoma Biblia katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar walipohudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi jana.

Viongozi wa dini wamenifanya siku hizi niache hata kwenda kanisani, nibaki nasali kivyangu nyumbani. Imagine uko kwenye hiii misa umeenda kusali na badala yake anatokea mzee lusfa mwenyewe kama huyu anapewa mic asimame madhabahuni!....
 
Kwa kuitazama hii picha, utakubaliana na mimi jamaa ni still going strong!, kazi ya urais sio kubeba zege!, kitu kizito kabisa ambacho rais anapaswa kuwa na uwezo wa kukibeba ni microphone kama hapo!, tena only pale inapobidi!.

Nimeisha mshauri yule 'Salva' wa EL, jamaa akiingia ni vihotuba vifupi vifupi maximum 3 pages only na sio mijihutuba mirefu very boring kama ya JK!, tena sio kwenye mijikaratasi, EL akiingia anaingia na ECO Government na E-Government, kwa sera ya paperless!, mambo ni kwenye I pad air, na transparent teleprompters kama Obama!.

tena kwa unyenyekevu kisa eti kachangia ujenzi
 
Sasa kwa nini tunategema Kikwete awaadhibu wezi? Kaazi kwelikweli.

Ile list si ndio wapo hadi kina riz1? Hio list hatutokuja kuiona kamwe.. Tutapigwa dana dana na sisis tutakaa kimya ka kawaida ya wa tz wote tulivyo
Prove me wrong!!!
 
kizito chengine ni ubongo
Kwa kuitazama hii picha, utakubaliana na mimi jamaa ni still going strong!, kazi ya urais sio kubeba zege!, kitu kizito kabisa ambacho rais anapaswa kuwa na uwezo wa kukibeba ni microphone kama hapo!, tena only pale inapobidi!.

Nimeisha mshauri yule 'Salva' wa EL, jamaa akiingia ni vihotuba vifupi vifupi maximum 3 pages only na sio mijihutuba mirefu very boring kama ya JK!, tena sio kwenye mijikaratasi, EL akiingia anaingia na ECO Government na E-Government, kwa sera ya paperless!, mambo ni kwenye I pad air, na transparent teleprompters kama Obama!.

Merry X-Mass

Pasco
 
Kwa kweli amevaa shati kihuni huni kama rapper.Mke wake Regina anatakiwa ahakikishe mumewe edo anakuwa smart anavaa vizuri...sasa uvaaji gani huo..hana personality!
ila mkewe mashaalaa jamani, uvaaji huu ni masharti pia ya kamati yake
 
Back
Top Bottom