Lowaasa Aiteka Zanzibar Xmass

Lowaasa Aiteka Zanzibar Xmass

Vichwa vingine vya habari bwana, ushabiki kila mahali bila kufikiri hata kidogo,,
Ungeandika tu Lowasa ahudhuria ibada ya Xmass Zanzibar,,
Unaweza kuelezea alivyoiteka Zanzibar,,??
 
Tunamtaka lowasa tu na Ccm tunampenda sana lowasa na watanzania wanamjali sana huyu mtu Wa watu wote.
 
Lowasa yupo fiti kupambana sasa mwakani.

Jembe la ukweli kwenye urais watanzania mpokeeni huyu mtu Wa watu.
 
Mwakani wapinzani watamkoma

Rich Pol;
Wapinzani hawata mkoma bali yeye ajiandae kisaikolojia kwani atawakoma wapinzani hao unao wasema. Poleni ccm, hivi yawezekanaje kama **** pilao sinia zima hapo mezani, niiache ati nirudie matapishi nilo yatapika, kisa ati nimeona nyama mle??? Si mlitaka hata kumvua uanachama nyiye?? Leo EL kawa dhahabu?? CCM, nani aliye waroga ninyi?? Hakuna mwingine humo?? Kama ni umasai, si mmchague hata Ole sendeka??
Kamwe, kura yangu hata ka yeye ndo wa mwisho, ntaivutia bangi pale policcm
 
Yoyote kutoka ccm atapita lakini siyo hawa wasanii waongo wachochezi na wanawahadaa umma eti wamenasa mawasiriano kwani wanakula sumaku?
 
Vichwa vingine vya habari bwana, ushabiki kila mahali bila kufikiri hata kidogo,,
Ungeandika tu Lowasa ahudhuria ibada ya Xmass Zanzibar,,
Unaweza kuelezea alivyoiteka Zanzibar,,??

lazima uvutike kusoma mkuu and so you did
 
Back
Top Bottom