Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,267
- Thread starter
- #161
hata mimi nasaidia kuusakanya
Pasco naomba msaada wako! Kuna uzi mmoja humu nimeupoteza na sikumbuki title wala mwandishi ila uzi ulikuwa unachambua mikakati ya el na kundi lake huku wakitajwa akina rostam na karume!
Mwenye uzi pia aligusia in a nutshell kifo cha Dr. O. Juma ktk harakati za kina jk!
Nautafuta huo uzi mkuu!