Lowaasa Aiteka Zanzibar Xmass

Lowaasa Aiteka Zanzibar Xmass

Mbona hajavaa kwa unyenyekevu na anajua wazi kuwa yuko kwenye nyumba ya ibada?! Anaacha wazi kifua chake ili iweje?
Ukishakuwa mtu mzima ni lazima ukubali kuishi kama mfano kwa watu uliowazidi umri na kuwa kama wanao. Sasa kwa uvaaji huu katika ibada nijifunze nini toka kwake?
Ova
 
kwako tafsiri ya unyenyekevu ni kwenye mavazi?
 
Lakuvunda halina ubani asafishiki RICHMOND HUYO Anakimbilia ikulu kuna biashara gani aondoke fisadi 1 aingie fisadi no 2. Tutamzuia kwa kura zetu.
 
Lowasa naona ndiye anaweza kuupata urais maana hâta anapokuwa kanisani x mass mnafuatilia; mbona wagombea watarajiwa wengine hamfuatilii?
 
2005 Tulimkata kikwete 80% wakasema safi 2010 wengi wakagundua tulikuwa na maana gani akashuka mpaka 64% nazo tia majitiamaji kujuta hakutawasaidia Lowasa hafai kwenda Ikulu.
 
staili ya free mason hiyo usipate tabu
Mbona hajavaa kwa unyenyekevu na anajua wazi kuwa yuko kwenye nyumba ya ibada?! Anaacha wazi kifua chake ili iweje?
Ukishakuwa mtu mzima ni lazima ukubali kuishi kama mfano kwa watu uliowazidi umri na kuwa kama wanao. Sasa kwa uvaaji huu katika ibada nijifunze nini toka kwake?
Ova
 
Lakuvunda halina ubani asafishiki RICHMOND HUYO Anakimbilia ikulu kuna biashara gani aondoke fisadi 1 aingie fisadi no 2. Tutamzuia kwa kura zetu.
mafisadi kuongezek nchini
 
Back
Top Bottom