sandy candy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 490
- 89
Mmhhh kwa kweli mkewe ni mzuri nitata futa contact zake. ...ila mkewe mashaalaa jamani, uvaaji huu ni masharti pia ya kamati yake
Mmhhh kwa kweli mkewe ni mzuri nitata futa contact zake. ...ila mkewe mashaalaa jamani, uvaaji huu ni masharti pia ya kamati yake
sababu anajua ndiye rais ajaye
Hata nanii wake ni kifaa!.
utafute na sanda
Hata nanii wake ni kifaa!.
Nitamshauri yule "Salva" wake, kwa mwaka wote ujao, kama ilivyo Mama anamsindikiza baba Lutherani, mwakani ni zamu ya baba kumsikiza mama Katoliki, si unajua tena kuhusu rais wa Tanzania, akiwa Mkristu ni lazima awe Mkatoliki, ndio maana ilipobainika Membe hauziki Kabisa, wakamshauri Pinda aingie, huku fallback position ikimsubiria Magufuli!, na matayarisho ya Mkatotoliki yalienda mbali, ili hata CCM ikiamua 2015 ni zamu ya Mwanamke, kama walivyofanya kwenye uspika, then yule "mama yetu" ndio aliandaliwa na zile "sadaka" kutoka kwa 'brother' zilikuwa ndio za dhumuni hilo!.
Unaadaliwa waraka wa Kikatoliki kutoka Vatican, kuwa mtu yoyote aliyeoa Mwanamke Mkatoliki, na kuhudhuria ibada kanisa Katoliki, atahesabiwa ni Mkatoliki, na hapo ndipo pekee anapoweza kuponea!.
Merry X-Mass
Pasco
ndio mkuu.huenda mgawo kwa maaskofu ulikuwa ni kwa ajili ya kuwatakatisha mafisadi
umewahi fika mabwe pande? mie nipo huku
Kumbe wewe ndio hujui!, when in Rome!, hakuvaa tai makusudcally kwa zababu huko sio eneo la wavaa tai!, tena nadhani akitoka tuu nje ya kanisa ni kibalaghashia kinapanda hapo kichwani!.Kwa kweli amevaa shati kihuni huni kama rapper.Mke wake Regina anatakiwa ahakikishe mumewe edo anakuwa smart anavaa vizuri...sasa uvaaji gani huo..hana personality!
Wajameni kiukweli kuna picha nyingine ukiangalia too unakuwa revitalized!, mimi krismass yangu ya leo, naiona iko gloomy gloomy kwa sababu imenikuta 'apeche alolo!', lakini baada kuangalia picha hizi, najisikia brigtened a bit, hivyo they made my day!. Nchi zikiongozwa na watu wenye karama kama hizi, wananchi wote wanakuwa revitalised with positivity kujiletea maendeleo huku taifa zima as a nation linakuwa brightens up, lina shine kiuchumi na hadi kupaa!.
usicheze na moto...........................
Yes see it with your own eyes!.I see!!!