Lowaasa Aiteka Zanzibar Xmass

Lowaasa Aiteka Zanzibar Xmass

Waliokataliwa na the late baba wa taifa ni janga tu piga ua.Sina imani hata kidogo nao pia nanyi watazania wenye upeo mdogo wa kudadavua mambo
Umekosea,hata sisi wenye upeo mkubwa,Lowassa ametuacha njia panda-he seems to tick the right boxes kila anapokanyaga mguu= washauri wake naona wanakwenda above the call of duty,sijawahi ona mtanzania ana anaepiga hesabu ya mbele kama huyu mzee,nina hamu kubwa ya kuwajua organisers wa mambo yake
 
yaani kwenda kanisani Znz ndio aiteka Znz?
Je unajuwa kiswahili kweli au umeweka kichwa cha habari kuvuta wasomaji kwa wingi?

Pole sana
 
Viongozi wa dini wamenifanya siku hizi niache hata kwenda kanisani, nibaki nasali kivyangu nyumbani. Imagine uko kwenye hiii misa umeenda kusali na badala yake anatokea mzee lusfa mwenyewe kama huyu anapewa mic asimame madhabahuni!....

Utakuwa mpagani tu by nature acha kutafuta visingizio au mzee wa makobazi

Si maandiko yenu (bible) yameandikwa Yesu amekuja kwa ajili ya wenye dhambi,au wewe ulitaka mhudhurie nyie watakatifu tu?
.
 
Umekosea,hata sisi wenye upeo mkubwa,Lowassa ametuacha njia panda-he seems to tick the right boxes kila anapokanyaga mguu= washauri wake naona wanakwenda above the call of duty,sijawahi ona mtanzania ana anaepiga hesabu ya mbele kama huyu mzee,nina hamu kubwa ya kuwajua organisers wa mambo yake
Unamjua Apson Mwang'onda. Huyo ndo mzee anayeratibu mpingo ya Lowasa
 
Lowassa ni Waziri Mkuu MFUKUZWA (sio MSTAAFU). Lowasa hakuwahi KUAJIRIWA wala KUSTAAFU--aliwahi kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu lakini alijiudhuru kwa sababu za ufisadi wa Richmond. Mtoa mada naomba ubadilishe kichwa cha habari.
 
yaani kwenda kanisani Znz ndio aiteka Znz?
Je unajuwa kiswahili kweli au umeweka kichwa cha habari kuvuta wasomaji kwa wingi?

Pole sana
Halafu waumini wa kanisa hilo hata 100 hawajafika
 
mkuu unampigia debe mheshimiwa nini?

Kwani kusali uko zanzibar tena kanisani ndo kawateka wazanzibar kwa kiasi hicho ulichoandika kwenye headin
 
Unamjua Apson Mwang'onda. Huyo ndo mzee anayeratibu mpingo ya Lowasa
naomba tupe ya ziada kuhusu huyu Apson-sababu sijawahi ona campaign inaendeshwa with mathematical precision hapa bongo- Lowassa anawaacha wagombea wenzie kivulini
 
Alafu naye mhuni tu. Angalia shati hapo kifuani kaacha kifua wazi ka wahuni wa bongo fleva mh Tanganyika tuna safari ndefu ati huyu naye aje awe rais makubwaa

cheni ya dhahabu utaionaje mkuu?
 
Hamuogopi, bali anaogopesha!. EL amejaaliwa kitu kinachoitwa karama ya kukubalika ambayo JK hana!.

Wakati wa enzi ya Boys II Men, mikoani wakisikia ni ziara ya JK, ni shangwe tuu miguu juu kwani akiisha tayarishiwa ile taarifa, na kupitishwa kule alikopangiwa, jioni ni kula kunywa siku imepita!.

EL akifanya ziara, haishii kwenye taarifa ya makaratasi, kama amepangiwa kufungua mradi kambi ya Makotupora, kwenye taarifa walisema Msalato vyomba vya madarasa vimekamilika, Ihumwa kisima cha maji kimekamilika na maji yanatoka!, katika ziara yake ya kuelekea Makotupora, kwa vile ndio nji hiyo hiyo, anatangaza kuanzia Msaloto kuona vyumba vya madarasa kisha kupitia Ihumwa kuona kisima ndipo auende Makotu!. Sasa ikatokea kumbe hakuna chumba cha darasa wala mradi wa maji!, kilikuwa kinawaka hapo kwa hapo mbele ya kadamnasi ya watu kwa kutaka maelezo, na kesho yake watu hawana kazi!. Hivyo watu walikuwa wakisikia EL anakuja, ni hakuna kulala!, JK akija ni sherehe tuu!.

Na ndio maana wana CCM wote wenye akili timamu wanaitakia mema nchi hii, mwaka 2015 wanamtaka EL, wasiomtaka ni wale CCM waendekeza matumbo!.

Merry X-Mass

Pasco

Umenena mkuu..lowasa atosha
 
mkuu unampigia debe mheshimiwa nini?

Kwani kusali uko zanzibar tena kanisani ndo kawateka wazanzibar kwa kiasi hicho ulichoandika kwenye headin

huyu lazima atakuwa mlamba viatu wa ngoyai.
 
Lowasa ndye mwenye uwezo wa kutuvusha kutoka kwenye hili tope..tme Will tell tutavuka mto tukiufkia
 
Back
Top Bottom