Loving you Mahondaw

Loving you Mahondaw

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee kantrii hukutani nae? Tutolee ngenga zako nawee.
Mie tyuuh ndo sijakutana na mtu humu ndaniii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliyekutana nae live, asha RIP [emoji24][emoji24][emoji24]
Sasa Kantry anatoa sate sauzandi 🤣🤣🤣🤣
Udugu hebu niache kwanza, sijawahi kukutana na mtu humu.!! Mi siogopi? Sijipendi??
 
Great, usirudie tena huo ujinga. Grow up, achana na makundi, ingia cheka uondoke zako. Hizo mnaita ubuyu mnapewa na wasiojitambua mnaishia kuwa kama wao. Sikuwa na mpango kujibizana na wewe, ila your attacks on me for almost a yr led to this.
Almost a year???????? Kweli dish limeyumba
Wewe ndie uache ujinga.

1. Mimi ni Antibiotics ukileta unafiki tunakutana, ukiacha unafiki hutaniona kuku attack.
2. Acha kupondea wanawake wa JF public wakati unahaha PM kupata cheap pussies.
3. Huna usafi wowote mbele za watu, ulichofanya kwenye huu uzi ni ujuha.
 
😂😂😂😂😂
Ila watu humu majasiri sana, unakutana na mtu humjui??? Haya ndo madhara yake sasa, lazima waje kudhalilika km hivi!!
Kuna wanawake wanafanya tuonekane so cheap
Yani sate inakudhalilisha?? Pesa ndogo kabisaa ambayo unaweza kuipata bila kudhalilisha utu wako arrrggggg 😡
Kwamba watu kukutana na ku~bond ni kitu strange sana kwako?
Na unadhani kwako 30k ikiwa ndogo kwa mwingine ni ndogo pia? Mtu kupewa nauli 30k ni kudhalilishwa?

Mkuu, najua watu machepele deep down wako humble na intelligent sana. Ila, watu hukutana kwa sababu nyingi tofauti tofauti.
 
Mahondaw your love to me feels just like magic...
When you smile you have total control...
You have power like nothing I've felt before...
I've let all of my feelings show...
'Cause I want you to know that I need you... I love you...

Cc: Mahondaw
 
Almost a year???????? Kweli dish limeyumba
Wewe ndie uache ujinga.

1. Mimi ni Antibiotics ukileta unafiki tunakutana, ukiacha unafiki hutaniona kuku attack.
2. Acha kupondea wanawake wa JF public wakati unahaha PM kupata cheap pussies.
3. Huna usafi wowote mbele za watu, ulichofanya kwenye huu uzi ni ujuha.
Wambea leo nawatunzia mpk screenshot 😂😂😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah nimegundua humu jeiefu watu wanaweza kuwa na habari zako ambazo hata we mwenyewe huna
Kinachonishangaza mimi zaidi ni ile mtu story alizozisikia kuhusu mwingine huko anafosi ziwe zakweli zakumuhusu anajifanya mmezitoa wapi hizi story hataki ziwe zakweli
bwahahahahahah!

Jeiefuuuu bana!
 
Niseme wakamdange wazee wa sate [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi ndo nampa baada ya shughuli pevu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unahongaa uduguuu? Sema kweliii? Huogopiiii?
 
Kwamba watu kukutana na ku~bond ni kitu strange sana kwako?
Na unadhani kwako 30k ikiwa ndogo kwa mwingine ni ndogo pia? Mtu kupewa nauli 30k ni kudhalilishwa?

Mkuu, najua watu machepele deep down wako humble na intelligent sana. Ila, watu hukutana kwa sababu nyingi tofauti tofauti.
Kumbe ilikuwa ni nauli?? 😂😂😂
Dah!! Halafu ikaendeleaje sasa??
 
Mahondaw your love to me feels just like magic...
When you smile you have total control...
You have power like nothing I've felt before...
I've let all of my feelings show...
'Cause I want you to know that I need you... I love you...

View attachment 2893484

Cc: Mahondaw
Yaani leo ni masongi tu bandika bandua kama Mtv base 🔥🔥🔥🔥
 
Almost a year???????? Kweli dish limeyumba
Wewe ndie uache ujinga.

1. Mimi ni Antibiotics ukileta unafiki tunakutana, ukiacha unafiki hutaniona kuku attack.
2. Acha kupondea wanawake wa JF public wakati unahaha PM kupata cheap pussies.
3. Huna usafi wowote mbele za watu, ulichofanya kwenye huu uzi ni ujuha.
1. Unajitambulisha kuwa antibiotics, wo the hell are you?
2. Toa quote yoyote ya mimi kupondea wadada wa jf, actually I love them nawapondeaje sasa.
3. Ni kweli sina usafi wowote as a human and a man. Ila kwa humu I'm certain you know nothing.
 
Back
Top Bottom