Be blessed.Naam.
Be blessed.Naam.
Utakuta wee ndo hujuiii,Nakujua sana pesa ipo ila unajikausha
Nashangaa Upo dar tokea lini wakati we jirani yangu hapo km kadhaa




Watembelea kiki huwa hawakosekani JF bado tutaona mengiAjikute tu!
Namjua Eron hadi biashara anazofanyaUtakuta wee ndo hujuiii,
Unaijua JF vizurii lakiniii. Ooooh wee haya tyuuh.
Kaa kwa kutulia mwayaaa, kuwa mtazamaji zaidi
Sasa shouzzzz hebu fanya kuthibitishaa hajakukulaa, yaan muosheee hatar,Wee anadhani mi nihao wenye hekaheka za kukutana na wanaume hovyo hovyo humu athubutuuu!!





Smart911 mchukue cheupe wako mkalale sasa. Nawatakia maisha yenye furaha na amani.Wee anadhani mi nihao wenye hekaheka za kukutana na wanaume hovyo hovyo humu athubutuuu!!
Namjua Eron hadi biashara anazofanya



D hebu kuwa mtazamaji, usiseme sijakuambia.Dhumuni la kuwa humu sio kuonyesha mtu ana hiki na kile, au kwako ni hivyo Dejane?Nakujua sana pesa ipo ila unajikausha
Nashangaa Upo dar tokea lini wakati we jirani yangu hapo km kadhaa
Waache yaliyo gizani yote yatoke 🤣🤣🤣jamaniiii nyie mnavyoshusha pdf za watu, muwaoneee na huruma bas.
😂😂😂😂😂 nimecheka Mad Max yamemkutaMchepuko wako wa chuga uliyeenda nae Serengeti ndo aliyefanya huu umavi kwenye hii couple najua umenielewa mkanye sana .
Round hii haachwi mtu hapa mwaka Jana nimepambana sana asee huu ndo wakati muafaka wa kuvuna 🧑💻.
Haya ngoja nikaushe kalale sasa 😂😂Dhumuni la kuwa humu sio kuonyesha mtu ana hiki na kile, au kwako ni hivyo Dejane?
Amuoshe mpk atakate tunasubiri hapa 😂😂😂😂Sasa shouzzzz hebu fanya kuthibitishaa hajakukulaa, yaan muosheee hatar,
Usikubaliii lipite hivi hivi, afu anasema hujui kuvaa kweli?
Aaah wee muosheeee aseeeh
Yote yakae pamoja tuyaone 😂😂😂na ya mwangani yaende wapiii?
Huku uswahilini mda huu tupo macho vibaka wamekuwa wengi.Haya ngoja nikaushe kalale sasa 😂😂
Kumbe shem cheupe?? Mbona nasikia coca alisema yupo km sele wa mbosso![]()



hivii hamuwezii kuzungumza bila kunigombanishaaa? Hebuu muacheniii shemelaaa akeee.Anatuchosha tuSasa shouzzzz hebu fanya kuthibitishaa hajakukulaa, yaan muosheee hatar,
Usikubaliii lipite hivi hivi, afu anasema hujui kuvaa kweli?
Aaah wee muosheeee aseeeh
Soma content vizuri wewe eboo.😀Kumbe shem cheupe?? Mbona nasikia coca alisema yupo km sele wa mbosso 😂😂😂