Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Umesema kweli kabisa binafsi sioni tatizo kukutana, tatizo ni pale unapokosea wa kukutana naeKwamba watu kukutana na ku~bond ni kitu strange sana kwako?
Na unadhani kwako 30k ikiwa ndogo kwa mwingine ni ndogo pia? Mtu kupewa nauli 30k ni kudhalilishwa?
Mkuu, najua watu machepele deep down wako humble na intelligent sana. Ila, watu hukutana kwa sababu nyingi tofauti tofauti.

