Loving you Mahondaw

Ila inakata sana kuwa na mwanaume mwenye wanawake wengi utavimba humu jf na kujikakamua kuwarusha roho watu kumbe unajichafua kuaibika huku moyon huna raha kabisa na huwezi kuwa na raha
Ila anajua kuwachezea akili bwana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi nisingekubali kujidhalilisha hivi in the name of love. Yani sawa mtu anacheat ila anaenda kukusema kwa wenzio na anarudi unampokea.

Wanawake sisi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanamke asiye na akili hata kumchamba ni kazi bure!

Hapa duniani kosa vyote lakini usikose akili, kujipenda na kujithamini!

View attachment 2892626
Kweli aisee. Na usiombe mwanaume akujue huna akili atakutumia na wewe kwa vile huna akili unajua ndo mapenzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii yote inachangia na Umaskini,kutojitambua,sifa nionekane mimi wa maana au viwango🐒
 
Ni vyema ukafuta hii statement maana rafiki yako alijinyakulia Smart911 na leo ni kilio kwenu. Bisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…