Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,944
- 177,160
Huyo anatoa mwongozo tu😊!Natumae mleta mada amepata mwongozo
Pumbavuuuni mtangulizie nani
ila wew mbishi utafikiri unatumia usafir wa treni kwenda kwenu
KabeeeeeeeeesaMambo yao tuwaachie wenyewe
Uzi umepoa Sanaa....natamani Mimi ningekuwa muasi Leo hapa pangewaka moto,,,mbona Melo angetoa tamko.... haiwezekani kabiisaa wakae kimya..mi ningekuwa nawajua ningewafuta PM kuwahamasisha mgomoNingetoa bonge la dis track

maan zile quote za mahaba jana usiku zimetuumiza mnoooo
,,, ila coca na mke wa kantri wanaweza hizi kazi za uhamasishaji em watumie wao basi

Allah atujalie wanawake tuwe na uwezo wa kujitambua.No one understands you as I do Smart!
Mi Amor uuuuuu babe wanguuuu (Hii code mix sasa 😘🤠)
Tutagombanaaa tutatukananaaa mwisho wa siku💕💕💕💕💕 nyieeee true love never die
bado siamini ujuee, shemelaa nilimkandiaa mnooo
Yaan daaah bas tyuuh, cna namnaa mimiii

maan ukianza maneno maneno utashushuliwa mpka ukome😂😂😂😂😂Awe team popote![]()
😂😂😂😂 ntashushuliwa na nani? Wee mbona siku hyo ban itanihusu wallahamini ila utulize mdogo sasamaan ukianza maneno maneno utashushuliwa mpka ukome
Si ndio maana nawachombeza,ndio mambo yao hayo🤣🤣🤣bado tuna kusanya nguvua dadamaan zile quote za mahaba jana usiku zimetuumiza mnoooo
,,, ila coca na mke wa kantri wanaweza hizi kazi za uhamasishaji em watumie wao basi
![]()
Umeanza ugomvi lini ma mtumishiUzi umepoa Sanaa....natamani Mimi ningekuwa muasi Leo hapa pangewaka moto,,,mbona Melo angetoa tamko.... haiwezekani kabiisaa wakae kimya..mi ningekuwa nawajua ningewafuta PM kuwahamasisha mgomo🤣🤣🤣🤣Ningetoa bonge la dis track
Mumeambiwa, mambo yao muwa achie wenyewee, kwani hamsikii tyuuh au? 😂😂😂😂😂Allah atujalie wanawake tuwe na uwezo wa kujitambua.
Mwanaume ukiachana nae na ukamchafua huwa anapanga kisasi. Atafanya chochote mrudiane ili wewe uliyetumika kumchafua utumike pia kumsafisha. Kama usipokuwa na akili utaona kilichomrudisha kwako ni mapenzi kumbe karudi kujishafisha dhidi ya uzushi ulizomzushia kipindi alikuacha.
Hamna mapenzi hapo, penzi likifa limekufa utalazimisha liendelee kuishi ila mambo hayawezi kuwa sawa kama ilivyokuwa awali. Huyu akimaliza kujisafisha juu ya kusambaza STDs kwa baadhi ya ladies humu ataondoka ikukuacha ukiwa hauna njia nyingine tena ya kumchafua.
Amefanikiwa kukufanya umeze matapishi yako.
Halafu hamna upendo kwenye kutukanana. Mwanaume akikutukana ni udhalilishaji na ni kwa sababu amekudharau. Na akirudi kukuambia anakupenda ni kwa sababu anataka aone kama una akili au bado ni mjinga. Usiruhusu dharau kwa kigezo kwamba ndio mapenzi yenyewe. Mtu anayekupenda akakulinda na kukuheshimu.
jamani nawee uwaite wake wenzio, muone bi mkubwa wenu akiwachachafyaaaaa, na anawarushaaa roho balaaa.
Au zamu yenu yaja, maana mume wenu heka heka anaziwezaaaa.
Huyu mahondaw anamuwekea cc, wee mnawekana avatars,
Wengine anawaahidi kuwapa ajira, wengine anawapeleka the Elements masakiii, mwingne anaenda nae ofisini na Gym.
Woiiiiiiiiih

ntashushuliwa na nani? Wee mbona siku hyo ban itanihusu wallah
la sivyo da mkubwa atakushushua ukoswe pa kwenda sas

😂😂😂😂 jamani ntakua mpolee mie mgonjwa wa nimonia, sitoki penye maokotoo mie.ukiwa na shem wet wa taifa la jf utulizage mdomola sivyo da mkubwa atakushushua ukoswe pa kwenda sas
![]()
Shemelaa ninayeeee 😂😂😂😂😂Shemeeejii![]()
Hii post ifanyiwe lamination.Allah atujalie wanawake tuwe na uwezo wa kujitambua.