Loving you Mahondaw

Loving you Mahondaw

Wapo nimewaona niliwahi mwambia ntu mmoja na akanisikiliza saivi ameolewa dear mie na mambo yangu sio kwamba hawaji wanakuja na wapo serious na wengi wanakuwa wanajitambua.
IMG_3783.jpeg
 
Ni vyema ukafuta hii statement maana rafiki yako alijinyakulia Smart911 na leo ni kilio kwenu. Bisha
Yani Mimi na rafiki angu tulie?? Tunalilia nini au nani?

Hatuwezi kulia sisi kwa vitu vya kumuhurumia mwanamke mwenzetu.

We mwanaume anahama wenzio unagombana na hajali leo kakosa wa kumshaua karudi kwa mwanamke wake anaejua hawezi pindua. Mnyonge wake yani. Ngoja apate penzi jipya HUMU shauri ake
 
Koma kabisa madam, siwezi kiwa empty set hata kidogo, unaijua infinite set...?
Make mwanaume umekomalia ulisikia Gono UTI Gono UTI Gono ! Wewe ni wa muda humu bila shaka unafahamu hizo story za Gono/ Ukimwi/ UTI zilipoanziaga nashangaa ulivonishadadia as if mimi ndie niliezianzisha humu !

Naona unadhihirisha kuwa kweli hunaielewa ile koment ya Graham!

Kunywa maji mengi urelaxx !
 
Teenaaaa.!!! Wape wape vidonge vyao 😂😂
Wakimeza wakitema hiyo shauri yao 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Mnikome mi mwandishi natafuta content atakayenimind namchamba
 
Shunie wa watu anajilia raha zake mpaka ashaisahau jf ashapata bonge la bwanaa anapendwa kwa vitendo
Ndio maana hata humu kapotea bwana kakaba beki zote
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Dinaaaaaa

Inapendeza sana!
 
Yani Mimi na rafiki angu tulie?? Tunalilia nini au nani?

Hatuwezi kulia sisi kwa vitu vya kumuhurumia mwanamke mwenzetu.

We mwanaume anahama wenzio unagombana na hajali leo kakosa wa kumshaua karudi kwa mwanamke wake anaejua hawezi pindua. Mnyonge wake yani. Ngoja apate penzi jipya HUMU shauri ake
You are wrong my friend. Ubinadamu si kugive up. Ubinadamu ni kupambania chako hadi tone la mwisho. Mwanamke wa shoka huwa haachi mume wake kirahisi isipokuwa malaya. Mwanamke atapambana na kwenda hata kwa waganga ili amrejeshe mume wake. Roho zenu ni sababu ya umalaya unawasumbua. Unadinywa na huyu, kesho yule keshokutwa etc. Nampongeza @mahondow
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom