Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,865
- 2,205
Wanawake wana pattern za tabia zinazofanana
Ni mtihani sheikh
Wanawake wana pattern za tabia zinazofanana
Acha kumtania mwenzako hakuna binti wa Yesu anashinda kwenye umbea kutwa😁😁😁😁Binti wa Yesu mzima?
😳😳kheeAtaibukia kwa mdada wa Ofisini na GYM, maana nae kapoaa mnoo siku hiziii,![]()
Braza braza, umwkuwa korofiWote jinsia moja...
Unashangaa ya watu ee😂😳😳khee
Braza braza, umwkuwa korofi
🤣🤣🤣🤣Kwani Kuna sehemu Yesu kasema Binti zake tusile ubuyuAcha kumtania mwenzako hakuna binti wa Yesu anashinda kwenye umbea kutwa😁😁😁😁
🤣🤣🤣🤣🤣Chakoorii,mahaba unayo?Jamaniii🤣🤣🤣
ShikamooWewe ni Pisi Kali Mjukuu, huwezi kukosa
Hukumbuki posa zilivyomiminika kwaajili yako, Tena Wanaume wenye ng'ombe 200 na zaidi 🤗, isingekuwa Wazee kusimama upande wa Smart huenda angekukosa 😜
Ndugu yangu nani wa kunipa mahaba mei cheusi mangara?🤣🤣🤣🤣🤣Chakoorii,mahaba unayo?
Mbona ni kama unaendelea kuandika lakini umeishia njiani?Unashangaa ya watu ee😂
Tazama yamekuwa mapya...2024😂Mbona ni kama unaendelea kuandika lakini umeishia njiani?
😂😂😂Niolewe tu nikupumzishe kwakweliMa mchungaji uolewe upunguze nyimbo za mapambio 😂😂😂
Yes wizoBonge la worship
Olewa olewa ukatumikie ndoa USA 🇺🇸😂😂😂Niolewe tu nikupumzishe kwakweli
WordUnajua hiyo ni kunyanyaswa kihisia na mtu anakuwa anajifariji kwa uongo maana mwanaume anakuwa manipulator,kutoka kwa hayo mahusiano mpaka ukae ujitafakari haswa uwe na msimamo,maana unakuwa unajizibia riziki yako kwa mtu wa kweli humu wako wanaume wazuri tu na wametulia
😩😩Mbona USA jmnOlewa olewa ukatumikie ndoa USA 🇺🇸
Mimi na jf sitaki tuwe na mazoea ya karibu kiviilee.Tazama yamekuwa mapya...2024😂