cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,102
- 181,132
Eleza vyovyote unavyojiskiaa uduguu, tupo hapa kusikilizaaa, huu ni wakati wako, tambaaaa yaan tambaaaaa 😂😂😂😂😂😂
Eleza vyovyote unavyojiskiaa uduguu, tupo hapa kusikilizaaa, huu ni wakati wako, tambaaaa yaan tambaaaaa 😂😂😂😂😂😂
Eleza vyovyote unavyojiskiaa uduguu, tupo hapa kusikilizaaa, huu ni wakati wako, tambaaaa yaan tambaaaaa![]()








Hahahahaha wameanza vzr mno gear #5 wameanza nayo...leo mm ni bando tu na K vant yangu pembeni naperuzi na kudadisi tuSi kwetu shangwe tuu..tunacelebrate na wapendanao...naona mwezi wa malavidavi wameuanza vizuri
🤣🤣🤣🤣Hiyo safi sana...ila nasikia Kuna waasi sijui wanakuja,hayo maneno nimeyasikia humu so Leo Bora ukose mishkaki ila sio bundleHahahahaha wameanza vzr mno gear #5 wameanza nayo...leo mm ni bando tu na K vant yangu pembeni naperuzi na kudadisi tu
Haikuwa rahisi mamy!umeweza babe
🤣🤣Melo angetoa tamko nasemaUmeanza ugomvi lini ma mtumishi
Uko poa lkn?🤣🤣Melo angetoa tamko nasema
KwakweliUjue kuna mapenzi ya kweli na mapenzi ya nipe nikupe.
Sio kukutana tu.......!!Hivi ni kweli jf watu hua wapenzi mpaka kukutana live??
Weee apiah!!!!Kuna mwamba kishaichapa vya kutosha huko na kupiga chini ndio umerejewa mkuu🤣🤣
Hahahahahaha..waasi wa M23 ,hahahahahaha...kwahiyo leo Mchawi bundles,hahahahahaha🤣🤣🤣🤣Hiyo safi sana...ila nasikia Kuna waasi sijui wanakuja,hayo maneno nimeyasikia humu so Leo Bora ukose mishkaki ila sio bundle
Forever and always!Ndio maana manywele umerudia nomino ya zamani, kumbe Ndugai karudi mjengoni 😄
Umaskini mbaya sana unadhalilisha mtu😁😁😁Kwakweli
Ss mi Huwa Niko very sensitive
Yaani sitaki ht kusikia tunashare siwezi 😬
Hayo mambo ya nipe nikupe ni sawa na kudanga tu siwezi
Mi upendo kwanza tulichopo tutashare
Niko poa sana...karibu tenaUko poa lkn?
Kitambo sana
Asante sanaNiko poa sana...karibu tena
Mi hapana sihusiki mwayaIla mmeaibika niliwaambia bidada ni wivu tu hizo kelele roho ipo hukooo yote![]()
🤣🤣🤣🤣mbona M23...Hahahahahaha..waasi wa M23 ,hahahahahaha...kwahiyo leo Mchawi bundles,hahahahahaha
Kila la kheri🤣Kakuambia nani ni jokes, tunaingia front kuanzia sasa🤣