Loving you Mahondaw

Loving you Mahondaw

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] furaha yako ni kuona watu wanachachuka tu " yu donti wanti pisi,, yu wanti plobulemu oluweziii[emoji1316][emoji16][emoji16]
Yaan wee hukumbuki wakati ule team pinzani wakiwa madarakani, jinsi mtifuano ulivyokua unatoka chama tawala? Tena mie chawa mkuu nilikua winja winja kusebenzua team pinzani had mwenyekiti wao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa chama tawala kiko ikulu, wao wapinzani wanapoajee bhana? Nchi haiendeshwi kipoleee ni full mnyukano. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Team pinzani nawachachua makusudi warushe makombora nao humu, wanakubali vipi kuwa wanyongee? Yaan huu uzi unatakiwa kuwa bampaa to bampaaa hakuna kupoaaaa.

Vita ni vita muraaaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi umepoa Sanaa....natamani Mimi ningekuwa muasi Leo hapa pangewaka moto,,,mbona Melo angetoa tamko.... haiwezekani kabiisaa wakae kimya..mi ningekuwa nawajua ningewafuta PM kuwahamasisha mgomo🤣🤣🤣🤣Ningetoa bonge la dis track
 
Et maokotoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Ndiwoooo, yuko BOT ujue? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ana range discovery 4, sasa dyadyaa hajui kuendesha, ko mafuta ntakua nakanyaga mie, raha iliyojeee hapooo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuacha kusukuma ndinga mchezoo? Wee kuwezaa?
 
Uzi umepoa Sanaa....natamani Mimi ningekuwa muasi Leo hapa pangewaka moto,,,mbona Melo angetoa tamko.... haiwezekani kabiisaa wakae kimya..mi ningekuwa nawajua ningewafuta PM kuwahamasisha mgomo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ningetoa bonge la dis track
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu sema kweliii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom